Mambo machache niliyojifunza kutoka kwa Wahubiri wa FAITH, LOVE and MIRACLES hapa Mkoani Dar es Salaam

Mambo machache niliyojifunza kutoka kwa Wahubiri wa FAITH, LOVE and MIRACLES hapa Mkoani Dar es Salaam

Hata huko Kukazwa Kwako 24/7 pia huwa nakupigia Promo au? Nasubiri Jibu ili nimalize Kazi kwani naona umenitafuta Siku nyingi na unataka Kupata kile Unachokitafuta.
Sasa Mrembo, mbona umepotea moja kwa moja? Nimeshakujibu hapo juu! Au bado umetingwa na majukumu ya kuwapikia chai hao Wahubiri wako?

NB: Usisahau kuwaomba kwenda nao huko kwa Mabeberu walikotoka. Maana kiukweli unatuongezea tu idadi ya watu kutokana na mchango wako mdogo kwa Taifa hili.
 
Siku zote wajinga ndiyo waliwao. Mimi ni wa kwenda kwenye mahubiri!!
Kuna wanaopenda mahubiri na wengine pombe, wanawake z mpira z mziki, etc. Hakuna aliye bora zaidi ya mwingine as long as hawavunji sheria za nchi hapo siwezi washangaa
 
wewe hujielewi sana , umekuwa nani unashutumu dini ya mtu hata kama mtu anaabudu kwa kulialia katiba inaruhusu una diriki ku-mention baadhi ya dini eti wastaarabu na wengine ???

Jitambue ww mpuuzi ,kama umekosa uzi si lazma kutaka kuandika tu kama umebanwa kunya

Idiot

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Yaani badala ya kuitetea ndiyo umeidhalilisha zaidi hiyo dini.
 
1. Hawajisifu balip humsifia sana Kristo na Baba Muumba ( Mungu )

2. Wanahubiri Kiustaarabu na hawapigi Kelele kama Walevi wa Gongo wa Kunduchi Mtongani au wa Kawe kwa Mapupu

3. Wanaenda mno na muda na Wanathamini sana Ratiba za Watu nje ya Ibada

4. Hawatuhimizi kila mara kutoa Sadaka bali kwa Mahubiri yao mazuri Wewe Mwenyewe tu utashawishika kutoa Sadaka

5. Hawatulazimishi tununue Maji au tubebe Mikojo na Vinyesi vyetu vikaombewe ili vitolewe Mapepo

6. Shuhuda za Kipuuzi Kipuuzi na za Kitoto kama za kukutana na Mende au Panya Jikoni Kwako hawazitaki

7. Japo Wanahubiri ila pia Wanaheshimu sana Tafiti za Kisayansi kuhusu Afya ya Mwanadamu tofauti na Wetu wanaodharau Tiba za Kisayansi ( Hospitalini ) wakisema Kristo na Damu yake inatosha Kukutibia hata kama Unaugua hoi na Safari ya kwenda Kulala rasmi Frijini Mochwari unaiona

Ni Matumaini yangu makubwa yale Madhehebu mengine hapa nchini Tanzania ( ukiyaondoa tu ya Catholic, Lutheran, Anglican na SDA ambayo ndiyo yana Ustaarabu,Umakini na Waumini wenye Akili Kubwa na Timamu pia ) nayo yatakuwa yamejifunza Kitu kutoka kwa hawa Wahubiri wa IMANI, UPENDO na MIUJIZA hivyo kuanzia Jumapili hii ( ya Keshokutwa ) katika Ibada zao tutaona Mabadiliko.
Wajinga ndiyo waliwao....bwana jinga inauma ufikieie vizur
 
naona kuna watu wamejaaa wanaandikisha watu sijui wnagawa vitu au sijui wanakusanya sadaka wanasimamisha mpaka gari ni wafnyakazi wa hilo kundi naona mmoja wao ni wewe unapiga promo . wanazurura tu wamejaa kule jnagwani mpaka mpka ilr road ya kuelekea kiggo
 
Wewe ni mtakatifu, unayesubiri kurudi kwa Bwana Yesu mara ya pili?

Naona boriti kwenye jicho lako huku ukijitahidi kutoa kibanzi machoni kwa wengine.
 
The day africans wataacha kuamini dini za kuletewa ndio siku ujinga utaisha na kila mmoja kuwa responsible na maisha yake hivyo taifa kuendelea na kuwekeza kwenye technology badala ya imani.

Au africa itaendelea kuongea umasikini milele.
 
The day africans wataacha kuamini dini za kuletewa ndio siku ujinga utaisha na kila mmoja kuwa responsible na maisha yake hivyo taifa kuendelea na kuwekeza kwenye technology badala ya imani.

Au africa itaendelea kuongea umasikini milele.
Ni asilimia 10 pekee waliobakia awaamini thus ujinga ungalipo
 
Back
Top Bottom