Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Na haya ni mambo machache niliyoyaona na kujifunza nilipokuwa mkoani Geita.
(1) watu hawawezi kuutambua utajiri wako au kuuthamini uwezo wako wa kifedha kama hujaingia bar ukawanunulia watu pombe au unywe pombe kwa kiasi kikubwa mpaka ulewe.
(2) kila mwanamke hujiona ni wa thamani kubwa sana kwa sababu wao huamini mchimbaji yeyote wa madini akiwa na fedha starehe yake ya kwanza ni kuzini na mwanamke na kulewa pombe.
(3) asilimia kubwa ya vijana na wanawake wanaumwa magonjwa ya zinaa kama kaswende na kisonono japokuwa wengi wao hawajitambui na wakati mwingine wengine hufikia kuizoea hali hiyo ya miwasho sehemu za siri na kutoa uchafu (usaha au majimaji) angalizo ukiwa mkoa wa geita kinga ni muhimu zaidi ya chakula usiende peku.
(4) ni mkoa wenye madini kila sehemu lakini wazawa ni masikini wa kutupwa na wananuka changamoto hata ukipishana nao barabarani na ndio wenye chuki kubwa na wageni wakiamini wageni wanakuja kuwanyang'anya fursa zao, ukiwa mjanjanja kama mwizukulu mgikuru tegemea kupigwa vita kila kona.