Mambo madogo yanayoweza vunja uhusiano

Mambo madogo yanayoweza vunja uhusiano

jamani mie ako mbunge ni maarufu jimboni kwangu ila kwa sababu hupendi siasa unaona ni umaarufu wa kijinga.

Km haitoshi Dr wa kina mama pekee wilayani.ke wananijua kwako unaona ni ujinga mweee!!!

Bora uende tu kwa kweli!!
Ila km nimekupenda nakuroga tu!! Ukilazimisha nang'oa kizazi kibingwa.utarudi tu kuwa mke wa pili tasa ndo raha yangu.

Mie nikupende halafu uniletee ujinga eti oooh! Maarufu wa kijinga mweee!! Subiri...nakuroga jini kiuno halina dawa utazunguka weee hutazaa!!

Walah!! Utajamba kifukuto nakwambia usicheze na hisia za mapenzi wewe!! Au bado mtoto. Nini??!!
Unasound kama babu tale[emoji28]
 
Unasound kama babu tale[emoji28]
Haijalishi mwaya!!! lkn bado nasisitiza. Mapenzi yanauma km donda la leoleo wewe! Moyo unavuja damu nyekundu kisa?.

Labda tu nisikupende kutoka kwa mjisakafu wa moyoni yangu utaenda tu kwa rsha zako. Utapona lkn....heee!!Nasema Chezeni hukohuko.... Ukija kwangu nimejiandaa kukaa na wewe kabisaa yaani bandika bandua usilete mapepe ya kurukaruka utanijua!!

Hali itakuwa mbaya zaidi km unanikuna vya kutosha mpaka najamba na jasho mwili mzima. Jimashine la nguvu wee! Usinitanie.
Kibamia wee nenda tu ukajichole..


hkn kuchepuka dude lipo limeumuka linaita shida yako nini..

Usiombe kuachwa na umpendae best!! eti mnuka kikwapa bin fungus mmoja aende akafaidi uno hilo weee!!! Subiri......eti..

Mie nilale nakumbatia mito km Mjinga flani hivi!!!mjinga afaidi.

wallahi nakuroga tu tukose wote. Urogo usioopolewa Achilia mbali watoto!!

Bali wewe! Hilo boro Ndo zaidi nalitaka. Utaniua sikuachii kamwee!! Na utaniua au nikuumize mie.

Kwanza muacha hana defense kuubwa anabweteka shauri ya kujisikia kunikomoa.
sasa mie hapohapo sichelewi namchapa nao kichawi. Na limbwata mahiti kumaliza kabisaaaa!! NaKubandika maku usoni utarudi tu kwa magoti mie ndo sina habari!!

Weee! Km "me" handsome na una hela ya mboga unajua kazi kazi!!....

Jaribu kunipenda uone moto wake!!. Mie ukiingia ni umeingia fanya kazi yako vizuri iliyokuleta hkn cha kujaribu maku yangu uchezee!! uvurugeee!! Ufukueeee!! af eti usepe kiulaini tu weee!! utanijua km siyo kuijua..

Ni ama zako ama zangu!! Mkurya aliwahi sema. "Muraa Bhita ni bhita"

Hii haina mjadala na

mapenzi Pia ni bhita muraa!! Dhidi ya mafisi ke!
Mdada ukikua tu barehe unajiandaa kwa ulinzi kabambe! Hii Inakuja tu automatic. Kwa mke rijali.

Sisi ndo tuna run Dunia tume wazaa mnakula mijasho yetu kupitia chakula tunachowapikia.

tunawazalia bure. Tunawabeba bure... af kinuka kikwapa mmoja alete kiuno chake hapa km sisimizi achukue tu kirahisi hivi!! mweee!!
 
Back
Top Bottom