ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
sasa hivi guest zote nafasi bwereree.....Mambo mtaani ni magumu sana na uroda ni washida sana
Mama D, Yuko huko JF atakushauri soon.Ishu haziendi kabisa ajira hakuna biashara nayo Ni ngumu kote mapenzi ndo kabisa bila ya kuwa na pesa hupati kitu siamini Kama mpaka house girl wa jirani amenikataa.
Hali sio nzuri kabisa mbinguni nako kumekuwa kugumu kwenda kununua nguo mpya nako inakuwa ni vigumu yaani kifupi me hata sielewi nyota yangu wameichukua wakaipeleka wapi nikisema nikae kwa kutulia nako siwezi miguu imelambwa na mbwa haitulii.
Pongezi kwenu wenye familia na majukumu Mimi mpaka dakika hii siwezi nimeshindwa.
Halafu ndio alikuwa anafurahia balaa kipindi cha mwendazake walio ktk utumishi wa umma wakitumbuliwa na kuwaongelea watumishi wa umma mambo mabaya mabaya tu,kumbe baadae nikagundua ni jobless,njaa ya kitaa ilikuwa inamsumbuaWe ni mwanamme wacha kujiliza-liza tuliza wenge tafakar upya songa mbele.
Cc: Smart 911???God forbid.
Unapiga Mishe gan?Mi nimejiajiri mwenyewe kwa kutumia akili , nguvu na ukatili huku Manzese
Inahitaji ubunifu tu mkuu
Oa mkuu kila kitu kitakuwa poaIshu haziendi kabisa ajira hakuna biashara nayo, ni ngumu kote mapenzi ndo kabisa bila ya kuwa na pesa hupati kitu siamini Kama mpaka house girl wa jirani amenikataa.
Hali sio nzuri kabisa mbinguni nako kumekuwa kugumu kwenda kununua nguo mpya nako inakuwa ni vigumu yaani kifupi me hata sielewi nyota yangu wameichukua wakaipeleka wapi nikisema nikae kwa kutulia nako siwezi miguu imelambwa na mbwa haitulii.
Pongezi kwenu wenye familia na majukumu Mimi mpaka dakika hii siwezi nimeshindwa.
Kuumbe?[emoji848]Halafu ndio alikuwa anafurahia balaa kipindi cha mwendazake walio ktk utumishi wa umma wakitumbuliwa na kuwaongelea watumishi wa umma mambo mabaya mabaya tu,kumbe baadae nikagundua ni jobless,njaa ya kitaa ilikuwa inamsumbua
Mfuatilie tu mkuu,jamaa alikuwa na nongwa sana kwa watumishi wa umma,nilikuwa namshangaa sanaKuumbe?[emoji848]
Kwahiyo stone alivyokuwa anazinguia yy kwake happy tu?
Imani, dini au siasa haiko static unabadilika anytimeMfuatilie tu mkuu,jamaa alikuwa na nongwa sana kwa watumishi wa umma,nilikuwa namshangaa sana
Nakuelewa mkuu,pamoja sanaImani, dini au siasa haiko static unabadilika anytime