ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ishu haziendi kabisa ajira hakuna biashara nayo, ni ngumu kote mapenzi ndo kabisa bila ya kuwa na pesa hupati kitu siamini Kama mpaka house girl wa jirani amenikataa.
Hali sio nzuri kabisa mbinguni nako kumekuwa kugumu kwenda kununua nguo mpya nako inakuwa ni vigumu yaani kifupi me hata sielewi nyota yangu wameichukua wakaipeleka wapi nikisema nikae kwa kutulia nako siwezi miguu imelambwa na mbwa haitulii.
Pongezi kwenu wenye familia na majukumu Mimi mpaka dakika hii siwezi nimeshindwa.