Mambo magumu sana

Mambo magumu sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ishu haziendi kabisa ajira hakuna biashara nayo, ni ngumu kote mapenzi ndo kabisa bila ya kuwa na pesa hupati kitu siamini Kama mpaka house girl wa jirani amenikataa.

Hali sio nzuri kabisa mbinguni nako kumekuwa kugumu kwenda kununua nguo mpya nako inakuwa ni vigumu yaani kifupi me hata sielewi nyota yangu wameichukua wakaipeleka wapi nikisema nikae kwa kutulia nako siwezi miguu imelambwa na mbwa haitulii.

Pongezi kwenu wenye familia na majukumu Mimi mpaka dakika hii siwezi nimeshindwa.
 
Mi nimejiajiri mwenyewe kwa kutumia akili , nguvu na ukatili huku Manzese

Inahitaji ubunifu tu mkuu
 
Ishu haziendi kabisa ajira hakuna biashara nayo Ni ngumu kote mapenzi ndo kabisa bila ya kuwa na pesa hupati kitu siamini Kama mpaka house girl wa jirani amenikataa.

Hali sio nzuri kabisa mbinguni nako kumekuwa kugumu kwenda kununua nguo mpya nako inakuwa ni vigumu yaani kifupi me hata sielewi nyota yangu wameichukua wakaipeleka wapi nikisema nikae kwa kutulia nako siwezi miguu imelambwa na mbwa haitulii.

Pongezi kwenu wenye familia na majukumu Mimi mpaka dakika hii siwezi nimeshindwa.
Mama D, Yuko huko JF atakushauri soon.
 
We ni mwanamme wacha kujiliza-liza tuliza wenge tafakar upya songa mbele.
 
Halafu ndio alikuwa anafurahia balaa kipindi cha mwendazake walio ktk utumishi wa umma wakitumbuliwa na kuwaongelea watumishi wa umma mambo mabaya mabaya tu,kumbe baadae nikagundua ni jobless,njaa ya kitaa ilikuwa inamsumbua
 
Ishu haziendi kabisa ajira hakuna biashara nayo, ni ngumu kote mapenzi ndo kabisa bila ya kuwa na pesa hupati kitu siamini Kama mpaka house girl wa jirani amenikataa.

Hali sio nzuri kabisa mbinguni nako kumekuwa kugumu kwenda kununua nguo mpya nako inakuwa ni vigumu yaani kifupi me hata sielewi nyota yangu wameichukua wakaipeleka wapi nikisema nikae kwa kutulia nako siwezi miguu imelambwa na mbwa haitulii.

Pongezi kwenu wenye familia na majukumu Mimi mpaka dakika hii siwezi nimeshindwa.
Oa mkuu kila kitu kitakuwa poa
 
Halafu ndio alikuwa anafurahia balaa kipindi cha mwendazake walio ktk utumishi wa umma wakitumbuliwa na kuwaongelea watumishi wa umma mambo mabaya mabaya tu,kumbe baadae nikagundua ni jobless,njaa ya kitaa ilikuwa inamsumbua
Kuumbe?[emoji848]

Kwahiyo stone alivyokuwa anazinguia yy kwake happy tu?
 
Back
Top Bottom