Nguniani
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 1,077
- 1,181
watajua hawajui yaaniMnatafuta mtu dhaifu ili mmwangushe asubuhi tu? Tunawaletea chuma cha pua mhangaike nacho, mtajibeba haki ya nani mwaka huu! Mwenye moyo fake mwambieni ajiandae kisaikolojia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watajua hawajui yaaniMnatafuta mtu dhaifu ili mmwangushe asubuhi tu? Tunawaletea chuma cha pua mhangaike nacho, mtajibeba haki ya nani mwaka huu! Mwenye moyo fake mwambieni ajiandae kisaikolojia!
Sasa ulitaka aende chama gani mkuuBinafsi niliona kuanguka kwa BM ni pale alipo amua kurusha karata yake kwenye chama cha Zitto.
Nikimsikiliza sana BM namuelewa kana kwamba hana ajenda ya maana zaidi ya kujipambanua kwamba JPM anapashwa afanye mabadiliko ambayo hata yeye BM aliyaishi kipindi akiwa kwenye system.
Wewe sema tu unamsema JPM kupitia mgongo wa Lissu shauri yako utatekwaMosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Membe hakufaa na hafai,lissu alifaa but nilimtoa akilini tangu aliposimama na acacia(nilitilia hofu uzalendo wake),2025-twende na Jacob-namuona jasiri,msimamizi na mtekelezaji maono,hayumbishwi,yupo makini.-nyalandu hafai akaongoze marekaniMosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Huyu alitakiwa astaafu tu siasa anajitafutia fedheha tu.Membe amebaki kuwa mgombea wa kwenye mitandao, sijui hata akigombea ubunge kama atashinda.
Hivi BM alifika cheo gani cha ukachero??Naomba kujuzwa[emoji120]Huyu alishafikia cheo cha juu sana cha ukachero, anatetea maslahi mapana ya Taifa.
Vigezo vya kipumbavu. Eti mwanaseminari. Kwani anakuja kuongoza kanisa? Kigezo cha udini? Kwa kigezo hicho tu kura yangu hana. #Lissu foreverMosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Umenikumbusha digrii nne za Mwakyembe vile wajumbe wa darasa la saba walivyo mtendaMosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Sawa Yohana Mbatizaji ila mwambie Boss wako kwamba Maendeleo hayana vyama.Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Eeeeh…...usitufokee bana…..tupishe huko…..
Naunga mkono hoja100%Intelijensia yake ilishindwa kumsaidia 2015. Huyu Membe ni kivuruge tu. Atapata kura chache sana na mwaka 2023 atarudi CCM kama mbwa koko aliyenyeshewa na mvua.
Kumbe pacemaker zinafanyakazi kwakutumia nguvu ya sumaku ya ardhiMnatafuta mtu dhaifu ili mmwangushe asubuhi tu? Tunawaletea chuma cha pua mhangaike nacho, mtajibeba haki ya nani mwaka huu! Mwenye moyo fake mwambieni ajiandae kisaikolojia!
Mwana intelejensia!Mwinyi alikuwa na sifa ipi kati ya hizo?
Tunamzungumzia mgombea wa " Ushirika"Wewe sema tu unamsema JPM kupitia mgongo wa Lissu shauri yako utatekwa
Labda wa kiwango cha MremaMwana intelejensia!