johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Wewe Lyatonga unamchukulia poa?!Labda wa kiwango cha Mrema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Lyatonga unamchukulia poa?!Labda wa kiwango cha Mrema
Namlinganisha na Mwinyi. Akili zao ni sawa kwa sababu mmoja alimpa mwenzake cheo cha naibu waziri mkuu. Cheo kisichokuwepo kwenye katiba.Wewe Lyatonga unamchukulia poa?!
Mosi, Membe ni mwana diplomasia aliyebobea
Pili, Membe mwana intelejensia
Tatu, Membe ni mwana seminari
Hayo maeneo matatu hutoa watu wenye maono hata kama unaangukia kwenye kundi moja kati ya hayo.
Maendeleo hayana vyama!
Nataka rais asiye na ubaguzi wa kikabila, kikanda, kidini, na anafuata kanuni,katiba na utawala bora.Katika hayo hata JPM kazidiwa pia.
Napendelea Rais wetu asiwe mtu anayezidi miaka 60 wakati anashika madaraka kwa mara ya kwanza. Sina sababu za msingi.