Mambo makuu matano ukiwa JF member kwa mwaka. Utajikuta mwanachama mbobevu

Mambo makuu matano ukiwa JF member kwa mwaka. Utajikuta mwanachama mbobevu

Kataa CCM. Yaani Anti-CCM
Humu ndani hasa ukiingia jukwaa la Siasa. Aiseeh! Hata uwe shabiki maandazi vipi. Kwa dozi zinazotolewa humu. Utajikuta nawe unaichukia CCM tuu. Upende usipende.
Kwa sababu humu wanafanya zaidi ya Fumigation. Zinafukizwa na kunyunyizwa dawa humu. Unamwaga moto humu.
Humu sio rahisi kuwa mwanaccm. Labda uwe unamaslahi.😂😂😂🔥

Humu CCM wanahali ngumu wala sio uongo
 
Kwamba watu wakikaa humu hawezi kuwa wapiga nyeto, yaani wana CHAPUTA?

Nionavyo Mimi, wengi walikuja humu wakiwa hawajui jinsi ya kunyetuka, lakini baada ya kuhudumu humu kwa mwaka mmoja sasa ni wabobevu katika tasnia hiyo.

Kidumu CHAPUTA 🔥

Mbaga Jr.
Na wakumbuke kuwa, mafunzo ya upigaji nyeto ni bure kuanzia vifaa mpaka hostel 😎
 
Back
Top Bottom