leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
40 with graceVizuri.
Inaonekana upo 30-40 hapo
40 with graceVizuri.
Inaonekana upo 30-40 hapo
Everything is dynamic menHabari za ijumaa!
Leo sina mambo mengi.
Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu wa;
a) Kataa CCM. Yaani Anti-CCM
Humu ndani hasa ukiingia jukwaa la Siasa. Aiseeh! Hata uwe shabiki maandazi vipi. Kwa dozi zinazotolewa humu. Utajikuta nawe unaichukia CCM tuu. Upende usipende.
Kwa sababu humu wanafanya zaidi ya Fumigation. Zinafukizwa na kunyunyizwa dawa humu. Unamwaga moto humu.
Humu sio rahisi kuwa mwanaccm. Labda uwe unamaslahi.
Na ikitokea unakuwa mwana CCM basi ndio yale ya kina Polepole na Mpina. Utaanza kuwa mwanaccm mwanaharakati.
b) Wapinga Single Mothers
Humu wapo waliooa.
Wapo ambao hawajaoa.
Wapo waliooa pia Single mothers
Lakini humu ukikaa mwaka mzima. Hata uwe mtu wa yeyote ni sawa. Nakuhakikishia kama ulikuwa hujaoa sio rahisi kuoa single mother kutokana na moto unaomwagwa humu.
c) Kataa ndoa.
Hii team bado haijafika level ya juu lakini inazidi kupata ushawishi mkubwa. Matukio ya usaliti. Utapeli katika mapenzi. Utegemezi na unyonyaji ndani ya mahusiano unawafanya watu wengi wajiunge kiimani katika chama hiki.
d) Wapinga uwepo wa Mungu. Atheist.
Miaka kumi iliyopita mtu kusema hakuna Mungu humu angeweza kushambuliwa na JF nzima.
Lakini kadiri siku zinavyoenda Chama hiki kinazidi kupata nguvu.
Watu wengi hawaamini katika Mungu tena. Na kama wanaamini bado wanamashaka na uwepo wake. Yaani wapo dilemma.
e) Chama la Matusi, umbea na udaku.
Humu wengi walijiunga wakiwa na adabu zote. Wenyewe walijiita Great thinker. Kitu kidogo utasikia unaambiwa usilete mambo ya FB humu.
Siku hizi muda wa ugriti thinka uliisha. Ni mwendo wa matusi, kejeli, dhihaka na udaku.
Yapo magenge humu yakiamua kutukana yatatukanana humu usiku kucha.
Ukifuatilia kinachobishaniwa utacheka.
Alafu zaidi wengi hawana hoja. Huishia kutukana na kutoa maneno huyo mjuaji, acha ujuaji. Ukimwambia toa hoja utaambiwa hana muda mchafu😄😀
Hicho ni Chama cha Matusi.
Mwisho ni kuwa, JF ukiwa kwa mwaka mzima utajikuta unaanza kuleta kiburi cha maarifa. Lakini bora kiburi hicho ukitumie kutoa hoja lakini kwa bahati mbaya wengi hilo hawalimudu. Ni kwamba wanamaarifa Wasikowska kuyafafanua au kuyatetea.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Kanisa la SDA Kimara, kuanza Sabato
Hapana tunasimama na Mtikila mgombea binafsi hukumu itekelezwe nakazia.Au mchochea vurugu
Happy birthdayKila mtu afanye anavyotaka
Ilimradi havunji sheria ya platform yenyewe
Thank you 🙏Happy birthday
Hapana tunasimama na Mtikila mgombea binafsi hukumu itekelezwe nakazia.
Tangu nimekuwa na umri huu 45+yrs nimeyafahamu majina mengi ya robert akiwemo ROBERT NESTA MARLEY! hawa jamaa wamejaliwa kuwa critical thinkers! ila wanaongozwa zaidi na bange! fikra zao nyingi zimejaa moshi wa bange lkn some how unapata logic na knowledge kiasi! sasa we wajina wa bob marley ulivuta cha wapi ukaja na huu uzi? ki ukweli sijawah muona roba au sele ambaye havuti bange
Hayo yote uliyoyaandika na mengine ambayo hujayaandika yapo kwenye jamii, na bahati nzuri hii ni Jamii Forum, na lengo hasa la Jamii Forum ni kuileta jamii pamoja kujadiliana mambo ya kijamii.Habari za ijumaa!
Leo sina mambo mengi.
Ukishakuwa mperuzi wa JF mara kwa mara. Kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ukamezeshwa Doctrines humu ndani. Kuna uwezekano mkubwa ukawa moja ya mwanachama bobevu wa;
a) Kataa CCM. Yaani Anti-CCM
Humu ndani hasa ukiingia jukwaa la Siasa. Aiseeh! Hata uwe shabiki maandazi vipi. Kwa dozi zinazotolewa humu. Utajikuta nawe unaichukia CCM tuu. Upende usipende.
Kwa sababu humu wanafanya zaidi ya Fumigation. Zinafukizwa na kunyunyizwa dawa humu. Unamwaga moto humu.
Humu sio rahisi kuwa mwanaccm. Labda uwe unamaslahi.
Na ikitokea unakuwa mwana CCM basi ndio yale ya kina Polepole na Mpina. Utaanza kuwa mwanaccm mwanaharakati.
b) Wapinga Single Mothers
Humu wapo waliooa.
Wapo ambao hawajaoa.
Wapo waliooa pia Single mothers
Lakini humu ukikaa mwaka mzima. Hata uwe mtu wa yeyote ni sawa. Nakuhakikishia kama ulikuwa hujaoa sio rahisi kuoa single mother kutokana na moto unaomwagwa humu.
c) Kataa ndoa.
Hii team bado haijafika level ya juu lakini inazidi kupata ushawishi mkubwa. Matukio ya usaliti. Utapeli katika mapenzi. Utegemezi na unyonyaji ndani ya mahusiano unawafanya watu wengi wajiunge kiimani katika chama hiki.
d) Wapinga uwepo wa Mungu. Atheist.
Miaka kumi iliyopita mtu kusema hakuna Mungu humu angeweza kushambuliwa na JF nzima.
Lakini kadiri siku zinavyoenda Chama hiki kinazidi kupata nguvu.
Watu wengi hawaamini katika Mungu tena. Na kama wanaamini bado wanamashaka na uwepo wake. Yaani wapo dilemma.
e) Chama la Matusi, umbea na udaku.
Humu wengi walijiunga wakiwa na adabu zote. Wenyewe walijiita Great thinker. Kitu kidogo utasikia unaambiwa usilete mambo ya FB humu.
Siku hizi muda wa ugriti thinka uliisha. Ni mwendo wa matusi, kejeli, dhihaka na udaku.
Yapo magenge humu yakiamua kutukana yatatukanana humu usiku kucha.
Ukifuatilia kinachobishaniwa utacheka.
Alafu zaidi wengi hawana hoja. Huishia kutukana na kutoa maneno huyo mjuaji, acha ujuaji. Ukimwambia toa hoja utaambiwa hana muda mchafu😄😀
Hicho ni Chama cha Matusi.
Mwisho ni kuwa, JF ukiwa kwa mwaka mzima utajikuta unaanza kuleta kiburi cha maarifa. Lakini bora kiburi hicho ukitumie kutoa hoja lakini kwa bahati mbaya wengi hilo hawalimudu. Ni kwamba wanamaarifa Wasikowska kuyafafanua au kuyatetea.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Kanisa la SDA Kimara, kuanza Sabato
Hayo yote uliyoyaandika na mengine ambayo hujayaandika yapo kwenye jamii, na bahati nzuri hii ni Jamii Forum, na lengo hasa la Jamii Forum ni kuileta jamii pamoja kujadiliana mambo ya kijamii.