Mambo makuu matatu Waafrika tusiyoyajua✔

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,699
Nimekaa nikawaza (nadhani unaniona kwenye avatar) kuwa kuna mambo kama matatu hivi ambayo Waafrika hatuyajui,
kama tungekuwa tunayajua hata hawa Wamarekani, Wachina na hata watu wa Ulaya tungewapita kimaendeleo.

Mambo yenyewe…
bahati mbaya hata mimi siyajui maana na mimi ni Mwafrika…
😳😵🙄😀😉🙂
 
Nimekusoma mkuu
 
Pumbafu
 
Nimecheka mpaka basi mkuu
 
Wewe ni kati ya hayo mambo!
 
Daah km watz ndo tuko hivi bas tu acha wazungu watuibie makinikia ni haki yao wapumbavu ndo waliwao
 
Mpaka tutakapoyajua hayo mambo matatu... [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ...
 
IGP njoo huku, kuna lijamaa linavuta bangi hadharani.....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Nimekaa nikawaza (nadhani unaniona kwenye avatar) kuwa kuna mambo kama matatu hivi ambayo Waafrika hatuyajui,
kama tungekuwa tunayajua hata hawa Wamarekani, Wachina na hata watu wa Ulaya tungewapita kimaendeleo.

Mambo yenyewe…
bahati mbaya hata mimi siyajui maana na mimi ni Mwafrika…
😳😵🙄😀😉🙂
Hahaaaaa mwanangu we we noma
 
Hapo umefaulu, ila ungejifanya kuyamention hayo mambo ningekuona POYOYO.. Maana na ww na mwafrica so umeyajuaje..
 
1: Mapenzi ya Nchi (Uzalendo)

2: Busara katika kuongoza (Uongozi bora)

3: Kujali na kuheshimu katiba iliyopo (Utii kwa wananchi)
 
Back
Top Bottom