Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Nimekaa nikawaza (nadhani unaniona kwenye avatar) kuwa kuna mambo kama matatu hivi ambayo Waafrika hatuyajui,
kama tungekuwa tunayajua hata hawa Wamarekani, Wachina na hata watu wa Ulaya tungewapita kimaendeleo.
Mambo yenyewe… bahati mbaya hata mimi siyajui maana na mimi ni Mwafrika…
😳😵🙄😀😉🙂
Mambo yenyewe… bahati mbaya hata mimi siyajui maana na mimi ni Mwafrika…
😳😵🙄😀😉🙂