Mambo makuu unayotakiwa kufanya pale unapohisi kutengwa na wazazi, ndugu na marafiki

Mambo makuu unayotakiwa kufanya pale unapohisi kutengwa na wazazi, ndugu na marafiki

Wewe Kama unatoka familia bora na mmekuzwa katika Upendo unabidi kushukuru Mungu Sana .
Sisi tumepishana sana na kila mtu ana maisha yake ,mimi kipindi niko form two dada zangu walikuwa wakubwa zaidi ya miaka 30 na wote wameshaolewa tena miji ya mbali huko.

Dada yangu wa kwanza hatujawasiliana almost miaka 4 wala sina namba yake ,ila hakuna bifu kwa sababu yeye anakaa mbali kwa sababu ya kazi na familia yake .

Ule undugu tu kuzaliwa pamoja unanifanya nijue hakuna bifu kati yetu , kumbuku kwetu ni waislamu : hatuwez ndugu kununiana zaidi ya siku 3 ,sina historia ya ugomvi na ndugu mpaka sasa.
 
Mfano Diamond na Ali kiba ni kiburi tu hawajawahi kugombana hata siku moja ,yaani kiburi tu ila siku wakikaa wakaongea utajua hamna tatizo ...Messi na Ronaldo walishinda huu mtego mapema.

Ni sahihi lakini wao wapo Kibiashara kutokana na sekta waliopo.

Hapa tunazungumzia zaidi kwenye wazazi, ndugu, na marafiki
 
Sisi tumepishana sana na kila mtu ana maisha yake ,mimi kipindi niko form two dada zangu walikuwa wakubwa zaidi ya miaka 30 na wote wameshaolewa tena miji ya mbali huko.

Dada yangu wa kwanza hatujawasiliana almost miaka 4 wala sina namba yake ,ila hakuna bifu kwa sababu yeye anakaa mbali kwa sababu ya kazi na familia yake .

Ule undugu tu kuzaliwa pamoja unanifanya nijue hakuna bifu kati yetu , kumbuku kwetu ni waislamu : hatuwez ndugu kununiana zaidi ya siku 3 ,sina historia ya ugomvi na ndugu mpaka sasa.
Hongera kwa hilo Mkuu .

Mimi nimesoma Shule ya wahindi na walikuwa washikaji zangu Sana wale kuwakuta wanaishi kiujamaa na kusaidiana ni jambo la kawaida Sana

Ila sasa katika familia za kibantu aisee hizi familia ni hatari Sana.

Unaweza kujinyima na kujitoa Ila wakaishia kukuita Mchawi na majina mengine mabaya .

So UPENDO unajengwa Kama haupo hauwezi wewe kuujenga kirahis
 
Mambo ya ndugu ni changamoto sana omba yasikukute.

Imagine umemaliza chuo ajira hakuna unakula nyumbn mzazi anakusimanga mbele za wadogo zako na Kwa majirani kwamba unagombania chakula na wadogo zako wakati ni msomi mpaka majirani wanamsihi aache kufanya hivyo ila wapi, baadae unapata ki ajira mzazi huyo huyo simu haziishi kukupigia kuimba msaada.

Kwenye familia mpo watoto 10 wote above 25 yrs mmetawanyika sehemu tofauti tofauti mmoja kati ya hao 10 ni mgonjwa wa afya ya akili round za muhimbili haziishi ikitokea kalazwa unawapigia simu hao 9 kuchangia bill ya matibabu wao Kila siku hawana Tena sio mara Moja yaani Kila siku wanadai hawana pesa unajichanga unatuma ulichonacho japo kipato ni kidgo ila ndio hivyo Kwa moyo tu .

Muda mwingine unawaza sasa hawa ndugu zangu umuhimu wao ni upi, inafika wakati nafikiria kuwa block wote nijue sina ndugu nimezaliwa peke yangu.
 
Mambo ya ndugu ni changamoto sana omba yasikukute.

Imagine umemaliza chuo ajira hakuna unakula nyumbn mzazi anakusimanga mbele za wadogo zako na Kwa majirani pia mpaka majirani wanamsihi aache kufanya hivyo ila wapi, baadae unapata ki ajira mzazi huyo huyo simu haziishi kukupigia.

Kwenye familia mpo watoto 10 wote above 25 yrs mmetawanyika sehemu tofauti tofauti mmoja kati ya hao 10 ni mgonjwa wa afya ya akili round za muhimbili haziishi ikitokea kalazwa unawapigia simu hao 9 wao Kila siku hawana pesa unajichanga unatuma ulichonacho japo kipato ni kidgo ila ndio hivyo Kwa moyo tu .

Muda mwingine unawaza sasa hawa ndugu zangu umuhimu wao ni upi, inafika wakati nafikiria kuwa block wote nijue sina ndugu nimezaliwa peke yangu.
Point kubwa hii
 
🤓🤓
Kawaida hiyo.

Utata unakuwa Mkubwa kwa wale ambao hawakutunzwa na Wazazi wao, wakajipendekeza lakini hawakupendeka.
Tena wapo Wamama ambao kimakusudi walitaka wasionekane wanawatoto kwa Maslahi Yao.

Alafu picha Linakuja kuwa kama Hilo la mzazi yuleyule ambaye hakutaka umuite mama au Baba Leo anakuja kwa mabavu kukuonea
 
B
Kujitenga haijawi kuwa suluhisho kwa maana nguvu yetu hapa Duniani ipo kwenye umoja yani Universality.

Kuna jambo mwalimu mkuu ya St' Anthony Secondary ya mwaka 2013 aliniambia "Ukitaka kufika mbali nenda peke yako lakini ukitaka kufika mbali zaidi nenda na wenzako. Ukichunguza ni kweli, ndio maana kuna umoja wa nchi matajari yaani G20, kuna umoja wa nchi za ukanda fulani yaani Umoja wa European Countries, Umoja wa African Countries na kuendelea.

Kabla ujataka kujitenga jaribu kujifanyia Self-Inventory yaani kujichunguza wewe mwenyewe kujua Character Assets (Mambo yale mazuri uliyonayo ambayo unajivunia nayo) pamoja na Character Defects (Kasoro ulizonazo). Baada yapo orodhesha kasoro zako na kuanza kuzifanyia kazi moja kwa nyingine. Hapo utafanikiwa na utaweza kujipata na kujijua vizuri Who you are?
Ni sahihi kabisa ulichokiandika ila baadae nilikuja kugundua kuwa nilizungukwa na watu ambao si sahihi na nilikuja kupata msaada na mtu baki kabisa ambaye sikumtegemea
 
Back
Top Bottom