Mambo manne makubwa ambayo yataweka mwelekeo wa kisiasa Tanzania

Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM.

Chedema inatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye haya mambo matatu

1. Bila katiba na tume huru ya uchaguzi wajitoe kabisa kwenye chaguzi lakini wasifanye kampeni za mgomo nchi nzima
2. Bila katiba mpya na tume huru washiriki chaguzi na kuombee walau chaguzi ziwe bora kuliko 2020
3. Bila katiba mpya na tume huru wagomee chaguzi ikiwa ni pamoja na kupiga kampeni za watu kutokushiriki chaguzi nchi nzima. Hii ni mgomo
4. Raisi samia je anataka kushinda kinyemela kwa 80% au kihalali kwa 51%-55%. Lanini hii 51%-55% inakuja na historia nzuri ya katiba mpya ambayo ni msingi mkubwa sana kwa maendeleo.

Kwa CCM na Raisi Samia anatakiwa kuelewa kutokuwa na tume huru na katiba mpya maana yake ni kuimarisha ngome ya Tindu Lissu na Lema ambayo haiamini hata kidogo serikali. Sababu ni kwamba Raisi Samia ndani ya Chadema ataonekana alikuwa anamtapeli Mbowe na kupunguza nguvu zake na ushawishi kwamba maridhiano yalikuwa na tija. Viongozi wenye msimamo mkali ndali ya Chadema wakiongozwa na Lissu sio kitu cha kupuuzwa kwa nchi. Hiki kikundi kina kipaji kuliko wanasiasa wowote Tanzania kwenye uchambuaji wa ajenda. Kikundi hiki kinajua kujenga hoja kuliko wengine wote mfano DP World tumeona. Lakini kikundi hiki kimataifa kinajulikana na wanajua siasa za kimataifa hasa ukizingatia Lissu na Lema wote wamekaa nje. Hii itadumisha sana upande ambao unampenda Samia wa Mboe, Sugu na Msigwa na kupaisha wanasiasa machachari ambao ni Lissu, Lema na Heche.

Geti la mbwa wakati Chadema kwasasa mwenye funguo ni Mbowe lakini kwa sasa kapoteza funguo na kama Raisi Samia asipojirudi na kuweka vizuri swala la tume na katiba mpya kudi la siasa kali ndani ya Chadema litachukuwa funguo na nchi hii haitakalika. Kwasasa wanaonyesha siasa za kipole kwasababu wanaendelea kwenda vijijini na kuandikisha watu hadi vijijini na zoezi la ziara likiisha tayari kundi hili litakuwa linajua watu wao ni wangapi, wako wapi na watakuwa na hadi simu za wafuasi wote!. Lakini Lissu ameshakutana na viongozi wote wa kimataifa wanao ongoza mashirika ya kimataifa ya demokrasia na wale wanaotupa pesa hasa nchi za magharibi. Raisi Samia asipo mpa Mbowe nguvu kwa kuweka Maridhiano na kuwasikiliza wakina Kinana ambao niwafanyabiashara na wanao angalia maslahi yao nchi hii itaingia kwenye wakati mgumu sana.

Tatizo kubwa litakuwa Raisi ataanza kuongozwa na wanasiasa wenye siasa kali ndani ya CCM wasiotaka mabadiliko na Chadema itaongozwa na wanasiasa wenye siasa kali ambao wanataka mabadiliko kwa njia yeyote ile! hii italeta mtafaruku mkubwa.

Hivyo maamuzi ya Raisi Samia kwenye maridhiano ya Chadema bila kujua yanaweza kuleta mapinduzi kwenye nchi hii.

Tulisema haya mwaka umepita sasa mnaona
 
yaani katika vyama 22 venye usajili wa kudumu, eti kachama kamoja kasuse uchaguzi then mambo yote nchini yasimame?

Yaani vyama 21 viache kuendelea kushiriki kwasababu ya kachama ka1 kweli?

kuna vyama huwa havishiriki chaguzi tangu kuanzishwa kwake kutokana na sababu wanazozijua wao na hakuna kilichozuia wengine kushiriki...

Chadema iliwahi kususa chaguzi huko nyuma, kimepata faida gani hata leo?

Yaani Tz uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 vinafanyika vizuri tu, whether kutakua na mabadiliko ya sheria za uchaguzi au tume ya uchaguzi ama lah....

Whether chadema wasuse ama laa, uchaguzi utafanyika kwa Amani sana, utulivu sana, na utakua huru, haki na wazi kuliko chaguzi zote zilizo wahi kufanyika Tz.

Na chama chochote kikiamua kuchagua kutoshiriki uchaguzi wowote ule ni haki yao msingi na wakweli lazima iheshimiwe vizuri sana, na wale watakao chagua kushiriki uchaguzi basi wapewe haki hiyo muhimu sana bila kuwa na kikwazo chochote.....

whether maridhiano yawepo yasiwepo, whether kuwe na siasa kali ndani ya CCM, whether Lisu aongee na viongozi wote wa mashirika ya kimataifa ili apewe nguvu zaidi ya fedha kama unavyodai ya kuja kuvuruga nchi, Kumbuka haitwi kibaraka kwa kusingiziwa asababu kubwa hiyo tu yakufadhiliwa na mabwenyenye na hana nia ya kuwatumikia makapuku wa TZ .

Mchakato wa katiba mpya utaanza mapema baada ya uchaguzi mkuu 2025.
Kuna maoni mapya mengi mno kwa vijana ambao hawakua na sifa ya kutoa maoni kwa wakati ule sababu za kiumri tangu 2015, leo hii tuna kundi kubwa mno la wenye sifa na shauku ya kuwa sehemu ya Katiba mpya. So mchakato utaanza upyaaaaa.....
Takataka
 
Kama watanzania watakuwa tayari kwa movement ya kudai Katina mpya sawa..mara nyingi watanzania wamekuwa wazito.
Ukisusa na vyama rafiki wa CCM wakishirki na wata justify kwamba chaguzi ulikuwa huru na haki - business as usual.

Hili jambo si la kukurupukia - linahitaji utayari wa watanzania. Nakumbuka kuna maamdamano yakiitishwa hapa ya Samia Must go !! Kwa viongozi wakubwa ni Mbowe tu ndiye aliyetoka ndani.
 
Bila katiba mpya.hata maraisi wastaafu akiingia.raisi kichwa kibovu.anaweza kutaifisha.account.zao kwa muktadha.wa kuvunja ufisadi.

Kumbuka yaliyomtokea Lowasa alivyo pigwa pini mahela yake .

Ni kutoona mbele lakini katiba.ikija.ya.warioba. machawa wasiojulikana na.matakataka mengi yatakoma.
 
Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM.

Chedema inatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye haya mambo matatu

1. Bila katiba na tume huru ya uchaguzi wajitoe kabisa kwenye chaguzi lakini wasifanye kampeni za mgomo nchi nzima
2. Bila katiba mpya na tume huru washiriki chaguzi na kuombee walau chaguzi ziwe bora kuliko 2020
3. Bila katiba mpya na tume huru wagomee chaguzi ikiwa ni pamoja na kupiga kampeni za watu kutokushiriki chaguzi nchi nzima. Hii ni mgomo
4. Raisi samia je anataka kushinda kinyemela kwa 80% au kihalali kwa 51%-55%. Lanini hii 51%-55% inakuja na historia nzuri ya katiba mpya ambayo ni msingi mkubwa sana kwa maendeleo.

Kwa CCM na Raisi Samia anatakiwa kuelewa kutokuwa na tume huru na katiba mpya maana yake ni kuimarisha ngome ya Tindu Lissu na Lema ambayo haiamini hata kidogo serikali. Sababu ni kwamba Raisi Samia ndani ya Chadema ataonekana alikuwa anamtapeli Mbowe na kupunguza nguvu zake na ushawishi kwamba maridhiano yalikuwa na tija. Viongozi wenye msimamo mkali ndali ya Chadema wakiongozwa na Lissu sio kitu cha kupuuzwa kwa nchi. Hiki kikundi kina kipaji kuliko wanasiasa wowote Tanzania kwenye uchambuaji wa ajenda. Kikundi hiki kinajua kujenga hoja kuliko wengine wote mfano DP World tumeona. Lakini kikundi hiki kimataifa kinajulikana na wanajua siasa za kimataifa hasa ukizingatia Lissu na Lema wote wamekaa nje. Hii itadumisha sana upande ambao unampenda Samia wa Mboe, Sugu na Msigwa na kupaisha wanasiasa machachari ambao ni Lissu, Lema na Heche.

Geti la mbwa wakati Chadema kwasasa mwenye funguo ni Mbowe lakini kwa sasa kapoteza funguo na kama Raisi Samia asipojirudi na kuweka vizuri swala la tume na katiba mpya kudi la siasa kali ndani ya Chadema litachukuwa funguo na nchi hii haitakalika. Kwasasa wanaonyesha siasa za kipole kwasababu wanaendelea kwenda vijijini na kuandikisha watu hadi vijijini na zoezi la ziara likiisha tayari kundi hili litakuwa linajua watu wao ni wangapi, wako wapi na watakuwa na hadi simu za wafuasi wote!. Lakini Lissu ameshakutana na viongozi wote wa kimataifa wanao ongoza mashirika ya kimataifa ya demokrasia na wale wanaotupa pesa hasa nchi za magharibi. Raisi Samia asipo mpa Mbowe nguvu kwa kuweka Maridhiano na kuwasikiliza wakina Kinana ambao niwafanyabiashara na wanao angalia maslahi yao nchi hii itaingia kwenye wakati mgumu sana.

Tatizo kubwa litakuwa Raisi ataanza kuongozwa na wanasiasa wenye siasa kali ndani ya CCM wasiotaka mabadiliko na Chadema itaongozwa na wanasiasa wenye siasa kali ambao wanataka mabadiliko kwa njia yeyote ile! hii italeta mtafaruku mkubwa.

Hivyo maamuzi ya Raisi Samia kwenye maridhiano ya Chadema bila kujua yanaweza kuleta mapinduzi kwenye nchi hii.

Tuliona haya toka 2023

Chadema wamechagua namba 3. Kuna wakina sisi ambao tunaona miaka 10 mbele
 
yaani katika vyama 22 venye usajili wa kudumu, eti kachama kamoja kasuse uchaguzi then mambo yote nchini yasimame?

Yaani vyama 21 viache kuendelea kushiriki kwasababu ya kachama ka1 kweli?

kuna vyama huwa havishiriki chaguzi tangu kuanzishwa kwake kutokana na sababu wanazozijua wao na hakuna kilichozuia wengine kushiriki...

Chadema iliwahi kususa chaguzi huko nyuma, kimepata faida gani hata leo?

Yaani Tz uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 vinafanyika vizuri tu, whether kutakua na mabadiliko ya sheria za uchaguzi au tume ya uchaguzi ama lah....

Whether chadema wasuse ama laa, uchaguzi utafanyika kwa Amani sana, utulivu sana, na utakua huru, haki na wazi kuliko chaguzi zote zilizo wahi kufanyika Tz.

Na chama chochote kikiamua kuchagua kutoshiriki uchaguzi wowote ule ni haki yao msingi na wakweli lazima iheshimiwe vizuri sana, na wale watakao chagua kushiriki uchaguzi basi wapewe haki hiyo muhimu sana bila kuwa na kikwazo chochote.....

whether maridhiano yawepo yasiwepo, whether kuwe na siasa kali ndani ya CCM, whether Lisu aongee na viongozi wote wa mashirika ya kimataifa ili apewe nguvu zaidi ya fedha kama unavyodai ya kuja kuvuruga nchi, Kumbuka haitwi kibaraka kwa kusingiziwa asababu kubwa hiyo tu yakufadhiliwa na mabwenyenye na hana nia ya kuwatumikia makapuku wa TZ .

Mchakato wa katiba mpya utaanza mapema baada ya uchaguzi mkuu 2025.
Kuna maoni mapya mengi mno kwa vijana ambao hawakua na sifa ya kutoa maoni kwa wakati ule sababu za kiumri tangu 2015, leo hii tuna kundi kubwa mno la wenye sifa na shauku ya kuwa sehemu ya Katiba mpya. So mchakato utaanza upyaaaaa.....

Nilisema 2023 haya na tutaona maono ya nani yata timia
Mwaka huu
 
Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM.

Chedema inatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye haya mambo matatu

1. Bila katiba na tume huru ya uchaguzi wajitoe kabisa kwenye chaguzi lakini wasifanye kampeni za mgomo nchi nzima
2. Bila katiba mpya na tume huru washiriki chaguzi na kuombee walau chaguzi ziwe bora kuliko 2020
3. Bila katiba mpya na tume huru wagomee chaguzi ikiwa ni pamoja na kupiga kampeni za watu kutokushiriki chaguzi nchi nzima. Hii ni mgomo
4. Raisi samia je anataka kushinda kinyemela kwa 80% au kihalali kwa 51%-55%. Lanini hii 51%-55% inakuja na historia nzuri ya katiba mpya ambayo ni msingi mkubwa sana kwa maendeleo.

Kwa CCM na Raisi Samia anatakiwa kuelewa kutokuwa na tume huru na katiba mpya maana yake ni kuimarisha ngome ya Tindu Lissu na Lema ambayo haiamini hata kidogo serikali. Sababu ni kwamba Raisi Samia ndani ya Chadema ataonekana alikuwa anamtapeli Mbowe na kupunguza nguvu zake na ushawishi kwamba maridhiano yalikuwa na tija. Viongozi wenye msimamo mkali ndali ya Chadema wakiongozwa na Lissu sio kitu cha kupuuzwa kwa nchi. Hiki kikundi kina kipaji kuliko wanasiasa wowote Tanzania kwenye uchambuaji wa ajenda. Kikundi hiki kinajua kujenga hoja kuliko wengine wote mfano DP World tumeona. Lakini kikundi hiki kimataifa kinajulikana na wanajua siasa za kimataifa hasa ukizingatia Lissu na Lema wote wamekaa nje. Hii itadumisha sana upande ambao unampenda Samia wa Mboe, Sugu na Msigwa na kupaisha wanasiasa machachari ambao ni Lissu, Lema na Heche.

Geti la mbwa wakati Chadema kwasasa mwenye funguo ni Mbowe lakini kwa sasa kapoteza funguo na kama Raisi Samia asipojirudi na kuweka vizuri swala la tume na katiba mpya kudi la siasa kali ndani ya Chadema litachukuwa funguo na nchi hii haitakalika. Kwasasa wanaonyesha siasa za kipole kwasababu wanaendelea kwenda vijijini na kuandikisha watu hadi vijijini na zoezi la ziara likiisha tayari kundi hili litakuwa linajua watu wao ni wangapi, wako wapi na watakuwa na hadi simu za wafuasi wote!. Lakini Lissu ameshakutana na viongozi wote wa kimataifa wanao ongoza mashirika ya kimataifa ya demokrasia na wale wanaotupa pesa hasa nchi za magharibi. Raisi Samia asipo mpa Mbowe nguvu kwa kuweka Maridhiano na kuwasikiliza wakina Kinana ambao niwafanyabiashara na wanao angalia maslahi yao nchi hii itaingia kwenye wakati mgumu sana.

Tatizo kubwa litakuwa Raisi ataanza kuongozwa na wanasiasa wenye siasa kali ndani ya CCM wasiotaka mabadiliko na Chadema itaongozwa na wanasiasa wenye siasa kali ambao wanataka mabadiliko kwa njia yeyote ile! hii italeta mtafaruku mkubwa.

Hivyo maamuzi ya Raisi Samia kwenye maridhiano ya Chadema bila kujua yanaweza kuleta mapinduzi kwenye nchi hii.

Tulishaona haya namba 3 ndiyo imetokea
 
Back
Top Bottom