Mambo manne makubwa ambayo yataweka mwelekeo wa kisiasa Tanzania



Tulisema haya mwaka umepita sasa mnaona
 
Takataka
 
Kama watanzania watakuwa tayari kwa movement ya kudai Katina mpya sawa..mara nyingi watanzania wamekuwa wazito.
Ukisusa na vyama rafiki wa CCM wakishirki na wata justify kwamba chaguzi ulikuwa huru na haki - business as usual.

Hili jambo si la kukurupukia - linahitaji utayari wa watanzania. Nakumbuka kuna maamdamano yakiitishwa hapa ya Samia Must go !! Kwa viongozi wakubwa ni Mbowe tu ndiye aliyetoka ndani.
 
Bila katiba mpya.hata maraisi wastaafu akiingia.raisi kichwa kibovu.anaweza kutaifisha.account.zao kwa muktadha.wa kuvunja ufisadi.

Kumbuka yaliyomtokea Lowasa alivyo pigwa pini mahela yake .

Ni kutoona mbele lakini katiba.ikija.ya.warioba. machawa wasiojulikana na.matakataka mengi yatakoma.
 


Tuliona haya toka 2023

Chadema wamechagua namba 3. Kuna wakina sisi ambao tunaona miaka 10 mbele
 

Nilisema 2023 haya na tutaona maono ya nani yata timia
Mwaka huu
 


Tulishaona haya namba 3 ndiyo imetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…