Mambo manne ya muhimu unayotakiwa kua nayo wakati wa kusajili kampuni

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Kusajili Kampuni Kuna hitaji taarifa nyingi sana, kwenye thread hii nimekuandikia mambo manne ya Muhimu zaidi Kuwa nayo.

1. Namba ya NIDA
Bila namba ya NIDA hutaweza hata kujisajili kwenye mfumo wa Brela, kwahiyo taarifa ya kwanza itakayo kupa next step kwenye usajili wa Kampuni ni namba ya NIDA.

2. Passport ya kusafiria, hii ni kwa ajili ya mgeni anayetaka kusajili Kampuni Tanzania au mgeni anaye partner kusajili Kampuni Tanzania.

3. Katiba ya Kampuni
Ni lazima uwe na MEMARTS au katiba ya Kampuni, yaan memorandum of association na articles of association, hizi unaweza tengenezewa na mwanasheria.

4. Taarifa za Shareholders angalau wawili, directors wawili na secretary.
Sheria za Tanzania Bado haziruhusu single person companies, hivyo ni lazima uwe na taarifa za mtu mwingine ambaye atakua mwanahisa namba mbili, na director namba mbili.

Bila taarifa hizi huwezi kusajili Kampuni.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni, kwa Tips za muhimu kama hizi usiache Kuni follow.

Your Favorite Lawyer.
 
Inachukua mda gani kakamilisaha usajili na gharasma zako ni Ashill g ngapi?
 
Hapa hata ndugu, mtoto anafaa?

Naomba kujua gharama za kuandaa katiba ya kampuni.
 
Sasa ndugu mwanasheria, mbona umeukimbia Uzi badala ya kuja kujibu maswali
 
Kila kitu si kinakuwa kisheria sidhani kama kunigeuka itakuwa easy hivo, nataka nisajili kampuni bado nawaza niteam up na nani kati ya wanaonizunguka.
Unaweza muweka mama/ pisi yako kama geresha tu ya kwenye karatasi za Brela we ukaendelea na mambo yako… lakini pia hatakiwi kuwa yeyote tu kwa sbb, zile karatasi ukimuweka kama Director, na hajachangia chochote as shares, siku akija kusema ana share zake kwenye hiyo kampuni? Na karatasi zinaonyesha ye amesign pia kama Director?

Again, muweke unayemmudu na kumuamini.
 
Inachukua mda gani kakamilisaha usajili na gharasma zako ni Ashill g ngapi?
Siku 3 mpaka 5 za kazi.

Inategemea na thamani ya Kampuni, lakini mara nyingi ni kati ya 500,000 mpaka 1,500,000
 
Kampuni ilisajiliwa brela mwaka 2016 lkn ukisearch ukingia kwenye website ya brela ukisearch haionekani . Msaada mwenye kujua
Habari yako mkuu, samahani kwa kuchelewa sana kukujibu.
Unatakiwa kuhuisha taarifa za Kampuni kwenye mfumo wa Brela.

Unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kwa namba 0678131068 nikakusaidia.
Ahsante
 
Unaweza muweka mama/ pisi yako kama geresha tu ya kwenye karatasi za Brela we ukaendelea na mambo yako… lakini pia hatakiwi kuwa yeyote tu kwa sbb, zile karatasi ukimuweka kama Director, na hajachangia chochote as shares, siku akija kusema ana share zake kwenye hiyo kampuni? Na karatasi zinaonyesha ye amesign pia kama Director?

Again, muweke unayemmudu na kumuamini.
Facts. Weka mtu wako wa karibu, I recommend mzazi, sababu ni ngumu kukuletea zengwe
 
Kila kitu si kinakuwa kisheria sidhani kama kunigeuka itakuwa easy hivo, nataka nisajili kampuni bado nawaza niteam up na nani kati ya wanaonizunguka.
Bado bunge linafanyia kazi suala la one person company, ni suala liliombwa miaka kadhaa nadhani ni 2020 hivi lakini Bado halijapata muafaka, in mean time muweke bi mkubwa au Mzee au mke
 
Kila kitu si kinakuwa kisheria sidhani kama kunigeuka itakuwa easy hivo, nataka nisajili kampuni bado nawaza niteam up na nani kati ya wanaonizunguka.
Mke huna, ndugu zako, rafiki yako wa karibu mnae aminiana sana? Huwezi kosa mtu wa kupachika hapo.
 
Kusajili Kampuni Kuna hitaji taarifa nyingi sana, kwenye thread hii nimekuandikia mambo manne ya Muhimu zaidi Kuwa nayo.

1. Namba ya NIDA
Bila namba ya NIDA hutaweza hata kujisajili kwenye mfumo wa Brela, kwahiyo taarifa ya kwanza itakayo kupa next step kwenye usajili wa Kampuni ni namba ya NIDA.

2. Passport ya kusafiria, hii ni kwa ajili ya mgeni anayetaka kusajili Kampuni Tanzania au mgeni anaye partner kusajili Kampuni Tanzania.

3. Katiba ya Kampuni
Ni lazima uwe na MEMARTS au katiba ya Kampuni, yaan memorandum of association na articles of association, hizi unaweza tengenezewa na mwanasheria.

4. Taarifa za Shareholders angalau wawili, directors wawili na secretary.
Sheria za Tanzania Bado haziruhusu single person companies, hivyo ni lazima uwe na taarifa za mtu mwingine ambaye atakua mwanahisa namba mbili, na director namba mbili.

Bila taarifa hizi huwezi kusajili Kampuni.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni, kwa Tips za muhimu kama hizi usiache Kuni follow.

Your Favorite Lawyer.
Mfano nikimuweka mzazi peke yake kama director haitafaa maana mimi tin yangu ya biashara ina deni
 
Back
Top Bottom