Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Inachukua mda gani kakamilisaha usajili na gharasma zako ni Ashill g ngapi?Kusajili Kampuni Kuna hitaji taarifa nyingi sana, kwenye thread hii nimekuandikia mambo manne ya Muhimu zaidi Kuwa nayo.
1. Namba ya NIDA
Bila namba ya NIDA hutaweza hata kujisajili kwenye mfumo wa Brela, kwahiyo taarifa ya kwanza itakayo kupa next step kwenye usajili wa Kampuni ni namba ya NIDA.
2. Passport ya kusafiria, hii ni kwa ajili ya mgeni anayetaka kusajili Kampuni Tanzania au mgeni anaye partner kusajili Kampuni Tanzania.
3. Katiba ya Kampuni
Ni lazima uwe na MEMARTS au katiba ya Kampuni, yaan memorandum of association na articles of association, hizi unaweza tengenezewa na mwanasheria.
4. Taarifa za Shareholders angalau wawili, directors wawili na secretary.
Sheria za Tanzania Bado haziruhusu single person companies, hivyo ni lazima uwe na taarifa za mtu mwingine ambaye atakua mwanahisa namba mbili, na director namba mbili.
Bila taarifa hizi huwezi kusajili Kampuni.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni, kwa Tips za muhimu kama hizi usiache Kuni follow.
Your Favorite Lawyer.
Hapa hata ndugu, mtoto anafaa?4. Taarifa za Shareholders angalau wawili, directors wawili na secretary.
Sheria za Tanzania Bado haziruhusu single person companies, hivyo ni lazima uwe na taarifa za mtu mwingine ambaye atakua mwanahisa namba mbili, na director namba mbili.
Hapa hata ndugu, mtoto anafaa?
Naomba kujua gharama za kuandaa katiba ya kampuni.
Kila kitu si kinakuwa kisheria sidhani kama kunigeuka itakuwa easy hivo, nataka nisajili kampuni bado nawaza niteam up na nani kati ya wanaonizunguka.Mtoto mwenye NIDA maybe. Tofauti na hapo No.. na huyo Ndugu uwe na uhakika nae 🤣 akija kukugeuka akasema kampuni ni yake
Mzazi lengo ni awepo partner tu wa pili, ila mtendaji niww mwenyewe na wafanyakazi km wapo.Kila kitu si kinakuwa kisheria sidhani kama kunigeuka itakuwa easy hivo, nataka nisajili kampuni bado nawaza niteam up na nani kati ya wanaonizunguka.
Na ndio lengo langu hiloMzazi lengo ni awepo partner tu wa pili, ila mtendaji niww mwenyewe na wafanyakazi km wapo.
Sasa ndugu mwanasheria, mbona umeukimbia Uzi badala ya kuja kujibu maswaliKusajili Kampuni Kuna hitaji taarifa nyingi sana, kwenye thread hii nimekuandikia mambo manne ya Muhimu zaidi Kuwa nayo.
1. Namba ya NIDA
Bila namba ya NIDA hutaweza hata kujisajili kwenye mfumo wa Brela, kwahiyo taarifa ya kwanza itakayo kupa next step kwenye usajili wa Kampuni ni namba ya NIDA.
2. Passport ya kusafiria, hii ni kwa ajili ya mgeni anayetaka kusajili Kampuni Tanzania au mgeni anaye partner kusajili Kampuni Tanzania.
3. Katiba ya Kampuni
Ni lazima uwe na MEMARTS au katiba ya Kampuni, yaan memorandum of association na articles of association, hizi unaweza tengenezewa na mwanasheria.
4. Taarifa za Shareholders angalau wawili, directors wawili na secretary.
Sheria za Tanzania Bado haziruhusu single person companies, hivyo ni lazima uwe na taarifa za mtu mwingine ambaye atakua mwanahisa namba mbili, na director namba mbili.
Bila taarifa hizi huwezi kusajili Kampuni.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni, kwa Tips za muhimu kama hizi usiache Kuni follow.
Your Favorite Lawyer.
Unaweza muweka mama/ pisi yako kama geresha tu ya kwenye karatasi za Brela we ukaendelea na mambo yako… lakini pia hatakiwi kuwa yeyote tu kwa sbb, zile karatasi ukimuweka kama Director, na hajachangia chochote as shares, siku akija kusema ana share zake kwenye hiyo kampuni? Na karatasi zinaonyesha ye amesign pia kama Director?Kila kitu si kinakuwa kisheria sidhani kama kunigeuka itakuwa easy hivo, nataka nisajili kampuni bado nawaza niteam up na nani kati ya wanaonizunguka.
Ndio nataka mtu naemmudu ili kuepusha mengineyo huko baadaeAgain, muweke unayemmudu na kumuamini.
Nimejibu zote kaka, sorry for late repliesSasa ndugu mwanasheria, mbona umeukimbia Uzi badala ya kuja kujibu maswali
Siku 3 mpaka 5 za kazi.Inachukua mda gani kakamilisaha usajili na gharasma zako ni Ashill g ngapi?
Hapana anahitaji mtu wa 18+ na awe na namba ya NIDAHapa hata ndugu, mtoto anafaa?
Naomba kujua gharama za kuandaa katiba ya kampuni.
Habari yako mkuu, samahani kwa kuchelewa sana kukujibu.Kampuni ilisajiliwa brela mwaka 2016 lkn ukisearch ukingia kwenye website ya brela ukisearch haionekani . Msaada mwenye kujua
Facts. Weka mtu wako wa karibu, I recommend mzazi, sababu ni ngumu kukuletea zengweUnaweza muweka mama/ pisi yako kama geresha tu ya kwenye karatasi za Brela we ukaendelea na mambo yako… lakini pia hatakiwi kuwa yeyote tu kwa sbb, zile karatasi ukimuweka kama Director, na hajachangia chochote as shares, siku akija kusema ana share zake kwenye hiyo kampuni? Na karatasi zinaonyesha ye amesign pia kama Director?
Again, muweke unayemmudu na kumuamini.
Bado bunge linafanyia kazi suala la one person company, ni suala liliombwa miaka kadhaa nadhani ni 2020 hivi lakini Bado halijapata muafaka, in mean time muweke bi mkubwa au Mzee au mkeKila kitu si kinakuwa kisheria sidhani kama kunigeuka itakuwa easy hivo, nataka nisajili kampuni bado nawaza niteam up na nani kati ya wanaonizunguka.
Mke huna, ndugu zako, rafiki yako wa karibu mnae aminiana sana? Huwezi kosa mtu wa kupachika hapo.Kila kitu si kinakuwa kisheria sidhani kama kunigeuka itakuwa easy hivo, nataka nisajili kampuni bado nawaza niteam up na nani kati ya wanaonizunguka.
Mfano nikimuweka mzazi peke yake kama director haitafaa maana mimi tin yangu ya biashara ina deniKusajili Kampuni Kuna hitaji taarifa nyingi sana, kwenye thread hii nimekuandikia mambo manne ya Muhimu zaidi Kuwa nayo.