Mambo matano aliyosema Rais Samia jana yaliyonisikitisha

Hizo tafsiri zako umejitungia kwa ujuha wako tu. Hapo Rais mama Samia Suluhu katumia falsafa ya "mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini" ambayo wewe huifaham.
 
Kwa kweli.
 
Ni kama vile mheshimiwa hajajua kuwa yeye ndio anahitajika kutoa majibu ya hoja anazoziibua mwenyewe.

Inaoneka kuna mambo mengi hoja zinaamuliwa kwa ushauri wa watu kadhaa na sio yeye peke yake which is good kushirikidha taasisi. Je hao wanaoshirikishwa hawana maslahi binafsi
 
Honestly speaking she is out of her depth. Nitashangaa sana kama atakuwa mgombea wa CCM 2025.

Hana vision, hana strategic thinking kwenye mambo ya msingi.

Sehemu pekee anapofabya vizuri ni siasa za kuviziana za ndani ya chama. She needs to retire kwakweli.
 
Tatizo letu Kwa sasa Tanzania ni Rais ni mkweli sana na anapenda kufanya good governance, wakati watanzania hawajazoea kusikia ukweli, wala hawajazoea kuwa good citizens...Tumepewa right president at a wrong time and to the wrong people
Huu ndio ukweli!

Watu wanapenda sugar-coated bitter Pills!
 
Hapo namba 1, Waziri wake anadai tunakopeshwa kwa vile sisi ni matajiri!
 
Hizo tafsiri zako umejitungia kwa ujuha wako tu. Hapo Rais mama Samia Suluhu katumia falsafa ya "mkono wa juu ni bora kuliko mkono wa chini" ambayo wewe huifaham.
Kama Nawanda inasemekana alimwambia yule Binti..."Maisha magumu unajitakia mwenyewe " kisha akampatia Bunda la Pesa🤣🤣
 
Good point, nilishasema hapa hatuna Rais Bali ni bomu Tena la kienyeji. Wananchi muelewe hivyo
 
Kama Nawanda inasemekana alimwambia yule Binti..."Maisha magumu unajitakia mwenyewe " kisha akampatia Bunda la Pesa🤣🤣
Hata Nyerere aliwahi kusema "uchumi mnao mnaukalia".
 
2. Unafahamu maana ya "wengi" na wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…