Historia itatenda haki1. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi.
2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais na ubunge kufinyangwa.
3. Kuanza kampeni za kugombea kabla ya muda.
4. Takrima ya ugawaji vitu kama baiskeli.
5. Kufanya siasa za uchaguzi makanisani, misikitini na michezoni.
Karma is real. Walizoea kuwaonea CHADEMA yatawarudia.1. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi.
2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais na ubunge kufinyangwa.
3. Kuanza kampeni za kugombea kabla ya muda.
4. Takrima ya ugawaji vitu kama baiskeli.
5. Kufanya siasa za uchaguzi makanisani, misikitini na michezoni.
3,4 & 51. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi.
2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais na ubunge kufinyangwa.
3. Kuanza kampeni za kugombea kabla ya muda.
4. Takrima ya ugawaji vitu kama baiskeli.
5. Kufanya siasa za uchaguzi makanisani, misikitini na michezoni.
Malizia na namba tano.1. Kilichosemwa na Makalla ni njia ya kuzuia na kudhibiti, inawezekana ni kweli CHADEMA walikuwa na mpango huo kweli ila kitendo Cha kusemwa na Makalla kimefanya wasitishe jambo Hilo. Hii mbinu inatumika sana.
2. Mchakato wa ugombea urais ulianza lakini bado nafikiri haujatamatika na mchakato wa ubunge Bado haujatamatika pia utasemaje umefinyangwa?
3. CCM inafahamu taratibu za uchaguzi na pia inafahamu kuanza taratibu hizo ni kosa na kinachoendelea sasa ni kukamilisha mchakato ya uchaguzi ndani ya CCM na kuanza kwa mchakato wa uchaguzi Mkuu.
4. Ni utaratibu wa CCM kuwezesha mazingira mazuri ya utendaji KAZI kwa viongozi wake na hizo baiskeli zimetolewa kurahisha utendaji na uenezi wa sera za CCM na ndio maana zimetolewa kwa mabalozi