Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

Qumanina yani Sare za CCM zilikuwa zinafaa kuchukulia mkopo benki benki ipi kwanza? Benki ya mama yko au ya hyo mzee wenu Yani watu km nyie ubongo wenu umejaa makamasi
Njoo ukalie mafinga yangu iringa naona nyegezi umezidiwa na watu mnsegerema wewe maku yomama suzuki!
 
Nimecheka kama mazuri, lakini uko logical.
 
Umesahau ujinga wake wa Machiavellian politics ukaiingiza nchi migogoro ya uvunjaji mikataba na nchi kushtakiwa kwenye mahakama za kimataifa ambapo nchi iliangukia pua na kupata madeni sababu kule hakuna majaji wa kupigiwa simu kupindisha hukumu

Hivyo njia pekee ni nyie kukamuliwa tozo na kodi zisizo na maana yoyote ili kulipia madeni.

 
7.Rais wa kwanza kichaa duniani
 
6.Vitendo vya utekaji vilibuka ghafla na watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha na viroba vyenye miili ya watu vilianza kuokotwa mtoni na kwenye fukwe za bahari,serikali ilitumia nguvu kubwa kuwatafuta watu wasiojulikana waliokuwa wakihusishwa na vitendo hivyo bila mafanikio.
 
Huyu ndiye mfano mzuri wa kuigwa [kiuongozi/kutawala pia]na wanasiasa wote waroho na wenye uchu wa madaraka.
Na kwa wale wanaojiona [wanaojiita wasomi],wajifunze maana halisi ya usomi kwa JP.MAGUFULI,kisha wajitathimini.
 
🥂💐🗼🎁👌👍👊🤝👏🙏
 
.

Alijuwa pia kuwa 80% ya Watanzania ni wajinga, yaani hawana uwezo wa kuchambua ukweli na uwongo, hivyo basi kila alichosema wakakiamini na wanakiamini hadi leo. Kuna wajinga wanaamini eti aliishinda COVID-19 wakati yeye mwenyewe na akina Kikazi wamekufa kwa COVID-19 kwa jinsi walivyoipuuza.

Magufuli amefanya UFISADI mkubwa sana na kikundi cha wateule wake wachache lakini bado Watanzania wanamuona ni "shujaa" licha ya CAG kuonyesha discrepancies kubwa kwenye Ripoti ya 2020/21.

Magufuli aliiba mpaka uchaguzi wa vitongoji wa 2019 na uchaguzi Mkuu wote still watu wamesahau wanasema eti alikuwa mzalendo.

Kuna maeneo alisema kwa kuwa walichagua wapinzani basi hapeleki miradi ya maendeleo, nako kuna wajinga wakiambiwa eti mafuta yamepanda bei, wanasema angekuwako Magufuli yasingepanda.

No doubt Magufuli alimaster sana the art of propaganda. Alizishika media zote, hadi za nje kuna wakati ikatangazwa kwamba hazipaswi kurusha maudhui ya ndani bila kibali.

Media zote nchi, binafsi na zile za serikali hadi zile ambazo ziko tu online ambazo hazina usajili wa serikali zilijaa woga kumtaja Magufuli katika namna ambayo isingempendeza. Media nchini ziliimba mapambio ya kumsifu na kumtukuza mawizo mpaka machweo.

Propaganda za Magufuli zinanikumbusha propaganda za Adolf Hilter, Joseph Stalin na Mao Ze Dong. Hawa watu walikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuaminisha mambo ambayo hayapo, walikuwa na uwezo wa kupandikiza nadharia zao na imani zao juu ya kadamnasi na ikaamini vivyo, huku nyuma ya pazia wakiwa na mauzauza yao kibao.

Magufuli alitupiga wapi? Kwanza alijifanya Rais wa wanyonge, akijua kwamba watanzania wengi over 40% tuko chini ya mstari wa umasikini wa $1 kwa siku, masikini wengi tulimpenda sana tukidhani ni mwenzetu lakini katu, hakuwa mwenzetu, JPM alikuwa tajiri sana.

Magufuli alijua kwamba watanzania hatupendi mafisadi, wengi tunadhani umasikini wetu kuna watu wanatuibia serikalini. JPM akaona atangaze nao vita kali, tukamsahau yeye ambaye alijilimbikizia mali nyingi sana, huku tukijua kwamba anapambana na mafisadi kwa ajili yetu, kumbe ni kwa ajili yake kwani kila alipotaifisha mali zao, zikawa zake na jamaa zake.

JPM master the art of public manipulation. Kwenye ziara zake alisimama barabarani, alizungumza na watu, akatoa fedha hadharani kwa watu wa hali ya chini, alitembelea hospitali na kutoa misaada hadharani kwa watu waliokuwa na hali ngumu huku kila media ikimulika. Vitendo vile vimewalevya wengi kudhani kwamba JPM was saviour, tukasahau kabisa na yeye ni mwanadamu mwenye tamaa na uchu, aliweza kufanya chochote pasi nasi kujua kuwa mali zetu zinaibwa na kuwekezwa kwenye hotels zake, real estate, mashamba na kuficha fedha nje ya nchi. Mtoto wa dada yake, aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya fedha Dotto James alifanya kazi kubwa sana kusafirisha fedha za mjomba wake nje.

Naona leo wakimkumbuka sana. Nasikitika sana kuona wengi wakimkumbuka JPM pasi na wao kujua kwamba bado wamo kwenye dimbwi la mning'inio wa propaganda za JMP. Ila kama tungejua uozo na madudu aliyofanya nyuma ya pazi, pengine tungezinduka kutoka kwenye hangover hiyo. Tuishie hapo.
 
Wewe ni miongoni mwa wachache sana kati ya wengi waliomkubali na kumhitaji JPM,Msiba wake uliudhihirishia ulimwengu hivyo.Matukio ya kutekwa na kupotea kwa watu,ilianza na kushamiri utawala wa awamu ya4 na hata kwenye awamu hii [ya 6]pia yamekuwepo na yataendelea kuwepo ikiwa serikali haita dhamiria kukomesha.Hoja ya msingi hapa ni kuwa ,huyu MAMA/BIBI haeleweki,hakubaliki na haitajiki tena.
 
Eti msiba wake ulidhihirisha ulimwengu kuwa wanamkubali? My foot. Watu walijaa kwenda kujidhihirishia kuwa DIKTETA kweli amekufa??

Kama humuelewi Mama au humkubali kasage chupa unywe, ufe tukuzike karibu na JPM
 
Alimfukuza CAG baada ya ukaguzi kugundua tri.4 hazionekani

Nilichogundua Hakupenda awepo mwinzi zaidi yake
 
Pacemaker was a myth. He had no peacemaker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…