Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

Alisema maneno na kutekeleza kwa vitendo. Mwamba aliweza sana.
 
Qumanina yani Sare za CCM zilikuwa zinafaa kuchukulia mkopo benki benki ipi kwanza? Benki ya mama yko au ya hyo mzee wenu Yani watu km nyie ubongo wenu umejaa makamasi
Hiyo Qumaanina sasa🤣
 
Huyu kila alipokua na ziara nilikua nafuatilia sana ataongea nn, toka nijitambue jiwe ndo rais pekee aliyenifanya nimfuatilie kila atakapoonekana.

Nashangaa saiv hata sinaga habar na kumfuatilia rais
 
Huyu jamaa aliowabeba ndio waliomkatisha tamaa. Waliishia kununua magari na kuhonga wanawake badala ya kufungua biashara na kufanya uwekezaji. Alifungua hadi uuzaji wa viwanja venye maji na umeme chato lakini hawakumpa support. Usiwabebe watu kwa sababu ni kabila lako au ndugu zako. Mbebe mtu kwa sababu unaona matokeo ya ushirikiano wenu katika upambanaji.
 
Namba moja hapo lilimbumia, alibana mwishowe mwenyewe akawachia baada ya watu kuminya kidogo tu.
. La pili, ka covid 19 nilimsifu msimamo wake.
 
Magufuri alikua ni Zaidi ya Rais yule alikua Moster sio binadamu wa kawaida alifanya mambo mengi mno alifanya nione wanasiasa kwamba kia ni wachumia tumbo
 
Mke, watoto, dereva wa Lisu wote ni raia wa Marekani! Aende akashinde huko USA.

Tanzania hatutaki wanafiki.

#tutashitakiwa MIGA
Mnafiki ni mamako ,aliyekuzaa nje ya ndoa na hajasema , kwa iyo lissu aliwezaje kugombea urais wa Nchi akiwa ni raia wa marekan? Na huku ulikua raia ambaye si mtanzania haruhusiw kugombea ? Umekaaje kmya lisuu kumikik nyumba na aridhi tz wakat sio mtanzania na sio mwekezaji wa kigeni? Kwa nn umekua kmya akipita kila wilaya kupiga kampein za kuinanga serikali yake na sio mtanzania?
 
6. Kuwachakaza magaidi wa kibiti , rufoji na mkuranga hio ndio namba 1 kwa uzito
 
Magufuri alikua ni Zaidi ya Rais yule alikua Moster sio binadamu wa kawaida alifanya mambo mengi mno alifanya nione wanasiasa kwamba kia ni wachumia tumbo
Alikuwa mwizi, mwongo na muuaji
 
Uchambuzi safi sana.
 
Hayo yote kina kinana huenda wamebadili. Kuhusu wajumbe wa halmashauri kuu ilikua kitu cha kwanza kurudisha wajumbe 500 badala 250. Wamewaruhusu tena watendaji kushiriki vikao na kupiga kura jambo sio demokrasia na linaongeza gharama. Mali za chama bila shaka wako njiani kuona jinsi ya kurudishiana mali walipora ccm na zikarudishwa. Ila sins hakika kama hawafisidi mali za chama. Binafsi nachukizwa sana kuona watu waliyompinga magufuli na kumkejeli kupewa kuongoza ccm. Kwa hili mama lazima alipe.
 
Labda dunia hii ya tatu( 3rd world countries)
 
Siku zake za mwishoni akiwa pale mbezi alipolalamikiwa suala la bei ya 500 kwenye choo cha stand akasema “ Kama hutaki kutoa 500 baki na mavi yako”...😜🤣
 
#. 2 superb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…