nyie mbw humu jf jukwaa la siasa ndio mmebaki na huu ushamba wenu.Hate versus Police ni kubwa sana kutokana na dhuluma zao na kubambikiza wananchi makosa, jokes aside unahitaji kuwa na ngozi ya mamba kuwaonea huruma Polisi...
Wewe mkorinto ni punguani kwa kuwa unasoma habari za mbwa na unazijibunyie mbw humu jf jukwaa la siasa ndio mmebaki na huu ushamba wenu.
huko uraiani hakuna ujinga ujinga wenu,angalia wananchi mashuhuda na wasimuliwaji walivyolipokea tukio lile.
ndio mtajua bado mna safari ndefu juu ya kampeni zenu za maandazi.
Wewe wataka wawemo wangapi humo NDANI ili ukubali kuwa kuna UONEZI unaofanywa na POLISI?mbwa mmoj anataka achote mawazo ya wananchi kwamba hawawapendi polisi.
kisa bana ake yuko ndani,haiwezekani.
Ndugu,subiri wakuibie na mke kabisa,ndio utawajua vizuri na udhurmati wao.
Wewe koplo bhanaa!! Akhsante sana kwa kutudhihirishia kuwa wasemayo watu kuhusu ninyi ni kweli.nyie mbw humu jf jukwaa la siasa ndio mmebaki na huu ushamba wenu.
huko uraiani hakuna ujinga ujinga wenu,angalia wananchi mashuhuda na wasimuliwaji walivyolipokea tukio lile.
ndio mtajua bado mna safari ndefu juu ya kampeni zenu za maandazi.
Unawapa kongole jeshi la polisi.1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.
2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia waendesha magari madhara yangekuwa makubwa zaidi ikiwemo kukutana na risasi....
Yani Mtu kashafanya ambush(shambulizi la kushtukiza) na kuua Askari wawili kisha kachukua silaha kubwa akiendelea kutafuta Askari wengine awaue afu bado aendelee kuachwa eti si muhalifu?Swali kujiuliza kwanini polisi walikuwa wanataka washambuliane? Je inawezekana jamaa hakuwa mhalifu ndio maana askari mwenzao akawa anazuia wenzake wasimuue? Na wakati huo huo wenzao wanataka kuondoa ushahidi?..
At least kuna mtu anaona hili tukio kwa jicho tofauti. Hongera kwa huu ushauri mzuri.Ushauri
Tutumie utaratibu uliotumiwa na Kenya wa kuwa na kikosi kimoja Cha kupambana na Ugaidi kinachoundwa na vyombo vyote na chenye commanding system moja. Nakumbuka Bunge la Kenya lilipofanya tathimini ya athari za tukio la Westgate walibaini askari walipotea kwa sababu walirespond at a time lakini wakiwa na uniforms mbalimbali na wakiwa na viongozi tofauti, kila kikosi kikawa kinajifanyia kinavyoona na kufanya washambuliane ndani.
Kongole kwa jeshi la Polisi.
Hao hawana akili, yani wanatufanya sisi hatuishi na hao Polisi mitaani au sawa na vile kila Mtanzania alishawahi kudhulumiwa na Polisi.nyie mbw humu jf jukwaa la siasa ndio mmebaki na huu ushamba wenu.
huko uraiani hakuna ujinga ujinga wenu,angalia wananchi mashuhuda na wasimuliwaji walivyolipokea tukio lile.
ndio mtajua bado mna safari ndefu juu ya kampeni zenu za maandazi.
Na nahisi hiyo timu moja kutoka vikosi mbalimbali iliishaundwa tangu enzi za JPM na ndio ilikuweza kudhibiti matukio mengi ya kihalifu. Labda huyu mhalifu alikuwa anatest kama bado kipo ama la na jibu amelipata!Sasa huoni hapa pekee tofauti iliyopo katika muundo wa jeshi la polisi la Kenya na Tanzania? Au ushauri wako ni kutaka Tanzania iige tu kwa vile Kenya walifanya!
Ukichukua mfano wa 'Westgate', halafu ufananishe na hili tukio la mtu mmoja (at least kwa sasa, bado inajulikana ni 'lone ranger', halafu ufananishe na tukio lililopangwa na kundi la watu, bado unaonyesha kwamba matukio haya huyaelewi vizuri.
Alishawaua kwa kuwashtukiza.Ninakumbuka miaka ya themanini,wakati nipo JKT,Kuna mwenzetu mmoja,alipitiwa na usingizi,aliweka silaha hovyo ,afande mmoja akaja kuchukua silaha na kuificha,ninakumbuka tulihenyeshwa wote kwa maelezo,kuwa tulikuwa wapi wote wakati silaha inapotea,mwenzetu ambaye alikabidhiwa silaha na sisi wengine wote ni wazembe.Tukio lile ninalinganisha na tukio la jana,ambalo Hamza alitwaa silaha za Askari wetu na kuleta taharuki huko karibu na ubalozi wa ufaransa.
Namba moja sio kweli,kama polisi waliweza Kufika wakiwa kwenye gari Tena bullet profed,wakashindwa kumuua huyo jamaa akiwa kwenye kibanda,mita mbili tu kutoka walipo,hawakushuka kwenye gari,shabaha hawana,1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana.
2. Wananchi kwa umoja wao wamezuia baadhi ya watu kutofika eneo la tukio yakiwemo magari, may be wasingewazuia waendesha magari madhara yangekuwa makubwa zaidi ikiwemo kukutana na risasi
3. Clip zinaonyesha wananchi wamezuia polisi kushambuliana, hii ilitokea wakati wa Westgate
4. Wananchi pamoja na kuwa kwenye hatari wametumia technology kuweka kumbukumbu. Wamekuwa waandishi wa habari, hii hali ikiendelea kwenye jamii uhalifu utakuwa unarekodiwa na ushahidi kupatikana
5. Wananchi wamemtambua muuaji kabla ya dola na hivyo kusaidia kupatikana kwa taarifa zake,naamini itasaidia sana uchunguzi huko mbele hasa kuhusu tabia za muhusika na Kama ana watu wengine wa kariba yake.
Ushauri
Tutumie utaratibu uliotumiwa na Kenya wa kuwa na kikosi kimoja Cha kupambana na Ugaidi kinachoundwa na vyombo vyote na chenye commanding system moja. Nakumbuka Bunge la Kenya lilipofanya tathimini ya athari za tukio la Westgate walibaini askari walipotea kwa sababu walirespond at a time lakini wakiwa na uniforms mbalimbali na wakiwa na viongozi tofauti, kila kikosi kikawa kinajifanyia kinavyoona na kufanya washambuliane ndani.
Kongole kwa jeshi la Polisi.
Kama stori zilizozagaa ni kweli, basi sababu za wao kufika eneo la tukio ni KUUAWA kwa wenzao na KUFUTA ushahidi, nothing else.1. Polisi wamefika eneo la tukio kwa wakati na kupambana kiume. Hongereni Sana
Hao hawana akili, yani wanatufanya sisi hatuishi na hao Polisi mitaani au sawa na vile kila Mtanzania alishawahi kudhulumiwa na Polisi.
Watanzania tuna roho za kipumbavu sana.
Walifariki wale Askari wetu wa JW 14 pia walikuwa wanawatukana na kuwaponda kama vile wao na siasa zao uchwara ni malaika.
Juzi wamefariki TRA, pia ni mwanzo mwisho kuwatukana na kuwaponda daaah...!
Hii TZ kuzaliwa ni bahati mbaya sana si kwa chuki hizi aiseee.
Wewe koplo bhanaa!! Akhsante sana kwa kutudhihirishia kuwa wasemayo watu kuhusu ninyi ni kweli.