Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi na dhuluma ni uji na mgonjwaHate versus Police ni kubwa sana kutokana na dhuluma zao na kubambikiza wananchi makosa, jokes aside unahitaji kuwa na ngozi ya mamba kuwaonea huruma Polisi
Jana kwenye hotuba ya Kikao Kazi na TANPOL Rais SSH ameongea mambo yanayuhusu dhuluma na unyanyasaji wa Polisi. Kuna aya kama 3 amerudia Rais kuhusu upelelezi usiokamilika na watu kukamatwa.
Halafu hata baada ya jamaa kudondoshwa waliendelea kumshindilia risasi nadhani kufuta kabisa ushahidi
Wewe ni Polisi Mpumbavu kabisa....Eti mtaani....mtaani watu wanashangilia polisi kuawa....nyie mbw humu jf jukwaa la siasa ndio mmebaki na huu ushamba wenu.
Huko uraiani hakuna ujinga ujinga wenu,angalia wananchi mashuhuda na wasimuliwaji walivyolipokea tukio lile. Ndio mtajua bado mna safari ndefu juu ya kampeni zenu za maandazi.
Acha uongo hakuna askari wa JWTz afariki alafu watu washangilie never. .Walifariki wale Askari wetu wa JW 14 pia walikuwa wanawatukana na kuwaponda kama vile wao na siasa zao uchwara ni malaika.
Wacha dhuluma...fanya kazi kwa mujibu wa PGO zenu....Infact polisi ni hudumaUkiyaambia ukweli basi yatakuona nawe ni kada wa CCM au ni 1wapo ya Rafiki, Ndugu, Jamaa au uko pa1 kikazi na huyo waliyekuwa wanamponda.
Kisa na mkasa, eti kila wanachoona wao ni sahihi basi nawe ukubaliane nao hata kama hakina mantiki.
Hii nchi inahitaji Raisi mwenye kaliba ya Hayati Magufuli mara 5 ya pale maana sisi ngozi nyeusi ni wabishi sawa na yale mawe ya baharini yanayopigwa na mawimbi kila siku lakini hayatakati kamwe.
Dhuluma ni tabia ya Mtu na tabia ni asili, afu si kila mtu ni Polisi, pevuka kiakili wewe.Wacha dhuluma...fanya kazi kwa mujibu wa PGO zenu....Infact polisi ni huduma
Badilikieni huku mtaani hampo salama...nakuambia chuki ni kubwa mno.....endelea kujitoa ufahamu
Were ni Wi..pi..??Watu wanawaponda police force lakini utashangaa janaume zimaaa hata likinyoshewa kidole na mwenzie limeshatinga CRO kufungua taarifa.
Mxeweèuw
Maandishi hayadanganyi bro...JidanganyeDhuluma ni tabia ya Mtu na tabia ni asili, afu si kila mtu ni Polisi, pevuka kiakili wewe.
Utateseka sana kijana, pambana na hali yako, kwa msongo wa mawazo ulionao unakutoa ufahamu kuwa ukiwachukia Polisi ndipo utafanikiwa kimaendeleo hiyo ni ndoto ya abunuwasi [emoji16]Acha uongo hakuna askari wa JWTz afariki alafu watu washangilie never. .
Wewe Polisi uleyekuja na huyo mwenzako kuteteana nakuambia badilikeni....Mtaani mnachukiwa vibaya mno
Unajua tofauti kati ya chart na chat?Kumdhibiti mharifu kama unavyochart hapa.
Gaidi ni muislamu yeyote afanyaye uhalifu wa ainayoyote hata kutumia kisu.Hivi nini Maana ya ugaidi au kila uhalifu ni ugaidi?
Nimeshaishi Kenya Kisii, Kisumu, Nakuru, Uganda Kampala, Tz zaidi ya mikoa 12 na kote nikiondoka hadi nafanyiwa sherehe sababu ya kushukuriwa kwa tabia njema nilivyokuwa naishi nao Watu vizuri.Maandishi hayadanganyi bro...Jidanganye
Kiongozi unadhani mzee yule aliyesema "malofa wapumbavu" alikosea?Raia wamefanya mambo out of ignorance, wangekuwa wanajua athari za kuwa eneo lile tena wamesimama wangesaidia zaidi polisi wetu. Mtu anaona mtu anapiga risasi na bado amesimama wima wima.
Kurekodi ni 50/50 na ni hatari bado sio swala la kuhimiza, raia anatakiwa kutawanyika kutoka eneo la tukio, sio kuzagaa zagaa. Pale jamaa angewageukia saizi tungeongea na kushauri tofauti na uzi wako.
Silaha ya moto sio kitu chakucheza nacho hata kidogo.
Sina muda wa majibizano ya kipuuzi....Polisi badilikeniNimeshaishi Kenya Kisii, Kisumu, Nakuru, Uganda Kampala, Tz zaidi ya mikoa 12 na kote nikiondoka hadi nafanyiwa sherehe sababu ya kushukuriwa kwa tabia njema nilivyokuwa naishi nao Watu vizuri.
Sasa wewe motivation speakers ujuaye kila kitu nyuma ya keyboards ndiye uje unifundishe mimi ujinga wako ilihali unaishi tu kwa Shemeji yako hadi dakika hii [emoji28]
Kukurupuka kwako unaona athari zakeNi jambo la kheri sana hawa Polisi wanaoitumikia CCM badala ya wananchi kuendelea kuuawa.Mungu bariki sana yule gaidi.
View attachment 1908590
Kukurupuka kwako unaelewa wananchi wanapata hasara gani na kubwa kiasi gani kwa Polisi kutumikia chama badala ya wananchi?Hawa Polisi-CCM kuuawa ni vyema na haki kabisa.Kukurupuka kwako unaona athari zake
Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa
Mtu ana silaha na anaua watu .Kwa nini mmuache ?By the way huwa hawasemi hawa wala kutoa ushirikiano kwa polisi. Wanakula yamini hawa magaidi. Bora wameliua tu. Thank you 👏 Mtu ameua askari wawili na mlinzi, anaendelea kurusha risasi ovyo na kuhatarisha maisha ya watu wengine, wewe unasema...www.jamiiforums.com
Unajua tofauti kati ya chart na chat?
Hizi shule siku hizi mnaenda kujifunza ujinga?