Mambo matano ya kutia moyo kwenye tukio la muuaji Hamza

Mambo matano ya kutia moyo kwenye tukio la muuaji Hamza

Polisi wajitafakari! Ila RIP waliokufa!!! Uchunguzi ufanyike siyo na polisi wetu bali na watu wa nje!! There is more to it than meets the eye!!
 
Hate versus Police ni kubwa sana kutokana na dhuluma zao na kubambikiza wananchi makosa, jokes aside unahitaji kuwa na ngozi ya mamba kuwaonea huruma Polisi

Jana kwenye hotuba ya Kikao Kazi na TANPOL Rais SSH ameongea mambo yanayuhusu dhuluma na unyanyasaji wa Polisi. Kuna aya kama 3 amerudia Rais kuhusu upelelezi usiokamilika na watu kukamatwa.
Polisi na dhuluma ni uji na mgonjwa
 
nyie mbw humu jf jukwaa la siasa ndio mmebaki na huu ushamba wenu.

Huko uraiani hakuna ujinga ujinga wenu,angalia wananchi mashuhuda na wasimuliwaji walivyolipokea tukio lile. Ndio mtajua bado mna safari ndefu juu ya kampeni zenu za maandazi.
Wewe ni Polisi Mpumbavu kabisa....Eti mtaani....mtaani watu wanashangilia polisi kuawa....

Constebo usiye na akili badilika
 
Walifariki wale Askari wetu wa JW 14 pia walikuwa wanawatukana na kuwaponda kama vile wao na siasa zao uchwara ni malaika.
Acha uongo hakuna askari wa JWTz afariki alafu watu washangilie never. .

Wewe Polisi uleyekuja na huyo mwenzako kuteteana nakuambia badilikeni....Mtaani mnachukiwa vibaya mno
 
Ukiyaambia ukweli basi yatakuona nawe ni kada wa CCM au ni 1wapo ya Rafiki, Ndugu, Jamaa au uko pa1 kikazi na huyo waliyekuwa wanamponda.

Kisa na mkasa, eti kila wanachoona wao ni sahihi basi nawe ukubaliane nao hata kama hakina mantiki.

Hii nchi inahitaji Raisi mwenye kaliba ya Hayati Magufuli mara 5 ya pale maana sisi ngozi nyeusi ni wabishi sawa na yale mawe ya baharini yanayopigwa na mawimbi kila siku lakini hayatakati kamwe.
Wacha dhuluma...fanya kazi kwa mujibu wa PGO zenu....Infact polisi ni huduma

Badilikieni huku mtaani hampo salama...nakuambia chuki ni kubwa mno.....endelea kujitoa ufahamu
 
Wacha dhuluma...fanya kazi kwa mujibu wa PGO zenu....Infact polisi ni huduma

Badilikieni huku mtaani hampo salama...nakuambia chuki ni kubwa mno.....endelea kujitoa ufahamu
Dhuluma ni tabia ya Mtu na tabia ni asili, afu si kila mtu ni Polisi, pevuka kiakili wewe.
 
Acha uongo hakuna askari wa JWTz afariki alafu watu washangilie never. .

Wewe Polisi uleyekuja na huyo mwenzako kuteteana nakuambia badilikeni....Mtaani mnachukiwa vibaya mno
Utateseka sana kijana, pambana na hali yako, kwa msongo wa mawazo ulionao unakutoa ufahamu kuwa ukiwachukia Polisi ndipo utafanikiwa kimaendeleo hiyo ni ndoto ya abunuwasi [emoji16]
 
Hivi nini Maana ya ugaidi au kila uhalifu ni ugaidi?
Gaidi ni muislamu yeyote afanyaye uhalifu wa ainayoyote hata kutumia kisu.
Mbowe sio muislam nashangaa eti ni gaidi. Haijawah tokea mkristo akawa gaidi. Ngumu kumeza hii maana lkn ndi ukweli
 
Maandishi hayadanganyi bro...Jidanganye
Nimeshaishi Kenya Kisii, Kisumu, Nakuru, Uganda Kampala, Tz zaidi ya mikoa 12 na kote nikiondoka hadi nafanyiwa sherehe sababu ya kushukuriwa kwa tabia njema nilivyokuwa naishi nao Watu vizuri.

Sasa wewe motivation speakers ujuaye kila kitu nyuma ya keyboards ndiye uje unifundishe mimi ujinga wako ilihali unaishi tu kwa Shemeji yako hadi dakika hii [emoji28]
 
Raia wamefanya mambo out of ignorance, wangekuwa wanajua athari za kuwa eneo lile tena wamesimama wangesaidia zaidi polisi wetu. Mtu anaona mtu anapiga risasi na bado amesimama wima wima.

Kurekodi ni 50/50 na ni hatari bado sio swala la kuhimiza, raia anatakiwa kutawanyika kutoka eneo la tukio, sio kuzagaa zagaa. Pale jamaa angewageukia saizi tungeongea na kushauri tofauti na uzi wako.

Silaha ya moto sio kitu chakucheza nacho hata kidogo.
Kiongozi unadhani mzee yule aliyesema "malofa wapumbavu" alikosea?
 
Nimeshaishi Kenya Kisii, Kisumu, Nakuru, Uganda Kampala, Tz zaidi ya mikoa 12 na kote nikiondoka hadi nafanyiwa sherehe sababu ya kushukuriwa kwa tabia njema nilivyokuwa naishi nao Watu vizuri.

Sasa wewe motivation speakers ujuaye kila kitu nyuma ya keyboards ndiye uje unifundishe mimi ujinga wako ilihali unaishi tu kwa Shemeji yako hadi dakika hii [emoji28]
Sina muda wa majibizano ya kipuuzi....Polisi badilikeni
 
Ni jambo la kheri sana hawa Polisi wanaoitumikia CCM badala ya wananchi kuendelea kuuawa.Mungu bariki sana yule gaidi.

View attachment 1908590
Kukurupuka kwako unaona athari zake
 
Kukurupuka kwako unaona athari zake
Kukurupuka kwako unaelewa wananchi wanapata hasara gani na kubwa kiasi gani kwa Polisi kutumikia chama badala ya wananchi?Hawa Polisi-CCM kuuawa ni vyema na haki kabisa.
 
Back
Top Bottom