Mambo matano ya kutia moyo kwenye tukio la muuaji Hamza

haya mapumbavu huwa nayaambia.

unakumbuka kifo cha jpm,hakacheza mpaka mziki matako juu,sasa yanaipata fresh yao.
Ukiyaambia ukweli basi yatakuona nawe ni kada wa CCM au ni 1wapo ya Rafiki, Ndugu, Jamaa au uko pa1 kikazi na huyo waliyekuwa wanamponda.

Kisa na mkasa, eti kila wanachoona wao ni sahihi basi nawe ukubaliane nao hata kama hakina mantiki.

Hii nchi inahitaji Raisi mwenye kaliba ya Hayati Magufuli mara 5 ya pale maana sisi ngozi nyeusi ni wabishi sawa na yale mawe ya baharini yanayopigwa na mawimbi kila siku lakini hayatakati kamwe.
 
Kweli,hata huyu Hamza hakutaka kuua wananchi tofauti na westgate!
 
Polisi wana special unit ya kupambana na ugaidi na uhalifu inayoitwa CRT (Crisis Response Team) Kama ilivyo RECE Squad ya Kenya, e.t.c
Hiyo Crisis Response Team ni Efficient kiasi gani?Wanao uadilifu, weledi/vifaa na utaalam wa kutosha?Je,huwa wanajitathmini kuona mafanikio yao(Evaluation)? Inaonekana wanaua zaidi badala ya kukamata wahalifu.
 
6:Hamza hakuwa na time na wananchi!
 
Polisi walitumia kitoto ndoo cha risasi kuua mtu mmoja!
Wangekua watatu ingebidi warudi kituoni wakaongeze risasi
 
Wanawake kwa kuogopa kufa du ,ndiyo maana watu wanakimbilia chanjo kisa hofu ya kufa dunia ijayo inaitaji watu majasiri tu
 
Piga chini IGP,RSO,DCI kwanza...hao wanabidi wawe chini ya ulinzi kuanzia sasa. Hakuna maana polisi inakua makini kwenya kuwakamata wanasiasa mfano wanao hitaji Katiba Mpya tena armless huku walishindwa kufanyakazi dhidi uhalifu kama huu
 
Police wamefanya kazi kubwa
Kazi kubwa ipi. Walifanya kazi kizembe. Yule bwana alikuwa na bunduki mbili ambazo idsdi ya risasi zake zinajulikana, polisi walikuwa na risasi nyingi kuliko huyo bwana, polisi walikuwa kwenye sehemu zenye kujikinginga na kuta hivyo walikuwa na uwezo wa kuhakikisha huyo bwana anaishiwa risasi. Walikuwa na mabomu ya machozi na maji washa washa. Bado wana wadunguaji. Mhusika alikuwa ni mmoja tu hivyo kumuua mtu aliyekuwa ameishiwa risasi zote na alikuwa ameshajitoa kufa sio anatoroka walifanya kazi ya kawaida ssna. Sio kubwa.
 
Jamaa angeamu kuua Kila raia leo tungekuwa tunaongeq msiba wa Taifa
 
Halafu hata baada ya jamaa kudondoshwa waliendelea kumshindilia risasi nadhani kufuta kabisa ushahidi
 
Hivi ulizaliwa kihalali au alikukunya!
 
Huu ni ugaidi au kisasi?
 
Mwee, WANASEMA!!!!! wale wa kule lumumba wanayo NGOZI ya hivihivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…