Mambo matano ya kutia moyo kwenye tukio la muuaji Hamza

SWAT wetu si Ndio FFU?

Yaani polisi zaidi ya 50 wameshindwa kumdhibiti gaidi m1?
Kuna risasi nyingi sana zilimkosa jamaa akiwa katikati ya barabara baada ya kupigwa bomu la machozi, sijaona la kujisifia hapa, tumepigwa huo ndio ukweli hatuwezi kujisifia kupoteza polisi wetu kwa yule mpumbavu mmoja
 
Kuna risasi nyingi sana zilimkosa jamaa akiwa katikati ya barabara baada ya kupigwa bomu la machozi, sijaona la kujisifia hapa, tumepigwa huo ndio ukweli hatuwezi kujisifia kupoteza polisi wetu kwa yule mpumbavu mmoja

Inashangaza jamaa yupo katikati ya barabara na alikuwa kama anaongoza magari au anajipiga kifuani tena anatamba!! Yule askari aliyekuwa getini anapambana naye alijirisk sana ,sijui kama alikuwa na bullet proof yeyote.

Jeshi letu limewekeza sana kwenye mecahanical /manual works wakti kwasasa ni ulimwengu wa technolojia ,hawana streets camera ,hawana body camera yaani wapo wapo tu,kazi wananunua magari ya maji kuwasha na makolokolo mengine yasiyo na tija.
 
Mbona mabadiriko ya katiba hamtaki kuiga toka Kenya,mikutano ya kisiasa Uhuru wa vyombo vya habari na maandamano ya amani?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hamza angelenga raia na.magari nafikiri ungepata picha halisi kama kweli polisi walifika kwa wakati au la .... usisifie kijingakijinga. Polisi wajipange aisee ...wapo slow sana
 
Mbona mabadiriko ya katiba hamtaki kuiga toka Kenya,mikutano ya kisiasa Uhuru wa vyombo vya habari na maandamano ya amani?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Tutabadilisha kwa njia zetu wenyewe, hatuna lazima ya kuiga huko. Nia hili kama hujui, linakuja, halizuiliki tena.

Kwa hiyo wewe unadhani Kenya kuna amani, kwa vile hayo yote yanafanyika; au huijui Kenya wewe!
 
Naomba kuuliza, inakuaje mwananchi ambaye inawezekana hajui chochote kuhusu mambo ya usalama ndie anatoa maelekezo kwa police ili wasishambuliane.?
 
Mipolisi ya kibongo ni mipumbavu na ni mizwazwa na kama wewe ni polisi tulia sindano ikuingie...
Hawana ujuzi wala tactics za kupambana na uhalifu wa aina yeyote achilia mbali ugaidi,
Muda wote wanawaza rushwa na kama siku yupo bize ni kukamata wapinzani
Mara ngapi wanapelekeshwa na wajuzi wakujibu shootout na wanakimbilia kuita Jeshi
Fukcing useless idiots...
 
Kidogo washambiliane yule jamaa aliye jeruhiwa pale getini hawa kumtambua wakanda kurudi nyuma wakanda kwa shooting
 
Umecharaza maandiko halafu mwisho umetoa kongole kwa watuhumiwa?Hao ni watuhumiwa usiwapongeze.
 
Kuna mchambuzi wa BBC kutoka Kenya alisema vizuri sana. Anasema yule askari aliesogelea kile kijumba alichojifichia Hamza alikuwa jasiri sana ila alichokosea ni kutambua kwa haraka kwamba kona ya kile kijumba sio ya Pembe ni ya mduara. Pale alipokaa kumuwinda Hamza kama kijumba kingekua na kona ya pembe Hamza asingeweza kumpiga risasi. Ila sababu kona ilikuwa ya mduara Hamza akaweza kupindisha mkono wake wenye silaha na kumpiga askari bila ya askari shujaa kuona mwili wa Hamza.

Ni muhimu kusoma vizuri mazingira haraka kabla ya kusogelea adui kwa karibu kiasi kile.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…