Mambo matano yanayoweza kukufanya usistahili kuwemo katika ndoa

Story ni nyingi kuhusu ndoa , kama umeingia we endelea na ratiba na sheria zako , tukiingia tutajua huko huko mbeleni 😂😂 kila mtu akiamka ndoa this , ndoa that , Ndoa which !

Pambaneni 😂
 
Ndoa ni kwa watu wenye akili timamu, wengine tuendelee kuwa watazamaji..!!
 
Yani siku hizi kupata mwenza mwema ni sawa na kubet mkeka wenye timu zaidi ya 50,kwa mia tano ukitegemea utapata milioni,unaweza ukapata ila chance ya kufanikiwa ni ndogo sana approximately equal to zero.
 
Mpuuzi mmoja katika moja na mbili
 
Simple but powerful truth.
 
Niweke front seat
 
Kuna watu hawafanyi yote hayo nandoa inaenda sasa weingia kwenye ndoa na mistari kama unaenda studio uone mwenza wako alivyo ndoutajua yanaendaje
 
Kuna watu hawafanyi yote hayo nandoa inaenda sasa weingia kwenye ndoa na mistari kama unaenda studio uone mwenza wako alivyo ndoutajua yanaendaje
Hapo unawaongelea Mchengerwa na Wanu..

You are right.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…