Mambo matatu (3) ya kuzingatia kabla na wakati wa kumiliki nyumba au kiwanja cha kwanza kwa ajili ya kujenga utajiri

Aısee umeongea point moja ya msingi, kuna mtu kwake akipata 10,000 kwa siku basi karidhika na anaamini yeye ni tajiri na kuna mtu anapata million 5 na bado anajiona maskini
 
Ndugu yangu 'Aliko Musa' ,ni mradi upi wa uendelezaji makazi unaoweza kufanya kwa pesa za kudunduliza?,hii mentality ya kuogopa mikopo siafikiani nayo kabisa,nakuomba urudi hapa kusema umelenga kundi la kipato gani Cha Juu au Cha kati?
 
Ndugu yangu 'Aliko Musa' ,ni mradi upi wa uendelezaji makazi unaoweza kufanya kwa pesa za kudunduliza?,hii mentality ya kuogopa mikopo siafikiani nayo kabisa,nakuomba urudi hapa kusema umelenga kundi la kipato gani Cha Juu au Cha kati?

Sijalenga kipato,

Nimelenga mbinu ya kuwekeza kwenye nyumba ya kupangisha iitwayo B-R-R-R-R.

Kwa mbinu hii, hutakiwi kutumia mkopo kumiliki nyumba ya kwanza.

Lakini sio kwamba nimeeleza mentality ya kuogopa mikopo.

Nadhani umesema makala zangu chache sana.

Naomba uwe unatembelea blogu ya UWEKEZAJI MAJENGO.

Ingie Google andika UWEKEZAJI MAJENGO BLOG.

Hapa utanielewa mengi kuhusu jinsi ninavyoamini na kuwaanisha wengine kuhusu mikopo.

Kuna makala ninawaandikia wasomaji wangu kuwa ni vigumu mno kujenga utajiri mkubwa sana kupitia ardhi na majengo bila kutumia fedha za wengine "MIKOPO".

Mikopo ya majengo ninaiita Nyenzo ya maajabu kati ya nyenzo tano anazotakiwa kutumia mwekezaji kwenye ardhi na majengo.

Naomba uwe unatembelea hiyo blogu ya UWEKEZAJI MAJENGO.

Huwezi kupata kila kitu kwenye makala moja rafiki yangu.

Ninashukuru sana sana kwa swali lako na mchango mzuri.

Karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…