Mambo matatu aliyokuwa nayo Hayati Dk. John Pombe Magufuli kulingana na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,151
Reaction score
4,277
Bila kuzungusha sana uzi mambo hayo ni;
(i) Kugusa maisha ya wengi
(ii) Kusifiwa akiwa hai
(iv) Kuondoka wakati bado anahitajika.

Mambo haya kwa ujumla wake kulingana na hotuba iliyosomwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ni bahati aliyokuwa nayo Hayati D.k John Pombe Joseph Magufuli.
 
Umeisikiliza hotuba lakini?
 
Mimi naweka zangu.

1. Roho mbaya
Kuchukia kuajiri watu serikalini, kutopandisha watu mishahara hii ni tafsiri ya roho mbaya.

2. Ukatili
Mauji ya watu, kujeruhi na kutesa watu huu ni ukatili.

3. Ubinafsi.
Kuipendelea Chato kisa ndiko alikozaliwa, waziri wa madini kutoka chato na muidhinishaji fedha mkuu kuwa mpwa wako na kuwapendelea wasukuma ktk nafasi mbalimbali kama mkuu wa majeshi, mganga mkuu wa serikali na wengineo huu ni ushahidi kwamba the late was selfish.
 
Mimi naweka zangu.

1. Roho mbaya
Kuchukia kuajiri watu serikalini, kutopandisha watu mishahara hii ni tafsiri ya roho mbaya....
Sikiliza basi hata matukio ya hotuba utaelewa
 
Wewe mchagga wewe
 
Hapo kwenye kugusa maisha ya watu ni kweli, maana hata ile tumbuatumbua ni kugusa maisha, wale waliosomea ualimu na hawakuajiriwa ni kugusa maisha,
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba. 😃😃 Malaika n hao waliokua na mimba au walio tumbon mwa mama zao sijaelew Apo
 
Naked true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…