Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Sana au kuvuka kiwango !Mambo matatu husabibisha maradhi katika mwili:
1:Kuzungumza sana.
2:Kulala sana.
3:Kula sana.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Daima tuitumie fursa yetu ya uhai ipasavyo,
tusipoteze wakati wetu katika kuzungumza sana kusikokuwa na faida,tusipoteze muda wetu katika
kula ,wala tusilale mpaka kuvuka kiwango.
Hayo hapo chini Masaa ya kulala kila siku kwa binadamu.Sana au kuvuka kiwango !
Normal range ikoje?
E.g. Maeneo mangapi kwa siku? Usingizi saa ngapi kwa siku
kwani wewe unalala masaa mangapi? una miaka mingapi?
- Hapo kwenye kulala yanibidi nijiongeze masaa mawili (2). Sasa hizi kazi za watu sijui itakuaje?.
kulala masaa machache sio vizuri kiafya masaa unayotakiwa ni masaa 8 au masaa 7 kwa wastani kila siku.kulala masaa machache vipi? haina tatizo? maana mimi nalala masaa manne mpaka matano!!
Mkuu kula na kulala havifanani ni vitu 2 tofauti.kula kulala... yanafanana! au?
Madhara yake ni yapi mkuu ? binafsi silali zaidi ya masaa 3 hadi 4 kwa siku lakini kitambi inazidi kuning'inia je inaweza kua na mahusiano na kutokulala kwa muda wakutosha?