Mambo matatu husabibisha maradhi katika mwili:

Mambo matatu husabibisha maradhi katika mwili:

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Mambo matatu husabibisha maradhi katika mwili:

1:Kuzungumza sana.

2:Kulala sana.

3:Kula sana.

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

Daima tuitumie fursa yetu ya uhai ipasavyo,

tusipoteze wakati wetu katika kuzungumza sana kusikokuwa na faida,tusipoteze muda wetu katika

kula ,wala tusilale mpaka kuvuka kiwango.
 
Sana au kuvuka kiwango !
Normal range ikoje?
E.g. Maeneo mangapi kwa siku? Usingizi saa ngapi kwa siku
 
Sana au kuvuka kiwango !
Normal range ikoje?
E.g. Maeneo mangapi kwa siku? Usingizi saa ngapi kwa siku
Hayo hapo chini Masaa ya kulala kila siku kwa binadamu.

attachment.php
 
Attachments

  • MASAA YA USINGIZI KWA BINADAMU.png
    MASAA YA USINGIZI KWA BINADAMU.png
    20.8 KB · Views: 865
  • Hapo kwenye kulala yanibidi nijiongeze masaa mawili (2). Sasa hizi kazi za watu sijui itakuaje?.
 
Madhara yake ni yapi mkuu ? binafsi silali zaidi ya masaa 3 hadi 4 kwa siku lakini kitambi inazidi kuning'inia je inaweza kua na mahusiano na kutokulala kwa muda wakutosha?
 
  • Hapo kwenye kulala yanibidi nijiongeze masaa mawili (2). Sasa hizi kazi za watu sijui itakuaje?.
kwani wewe unalala masaa mangapi? una miaka mingapi?

kulala masaa machache vipi? haina tatizo? maana mimi nalala masaa manne mpaka matano!!
kulala masaa machache sio vizuri kiafya masaa unayotakiwa ni masaa 8 au masaa 7 kwa wastani kila siku.

kula kulala... yanafanana! au?
Mkuu kula na kulala havifanani ni vitu 2 tofauti.

Madhara yake ni yapi mkuu ? binafsi silali zaidi ya masaa 3 hadi 4 kwa siku lakini kitambi inazidi kuning'inia je inaweza kua na mahusiano na kutokulala kwa muda wakutosha?

[h=3]Madhara ya kukosa usingizi...[/h]

Usingizi ni muhimu sana kwa afya ya mwanadamu kama ilivyo chakula au maji. Katika hali ya kawaida mtu mzima anatakiwa kulala usingizi kwa masaa yasiyopungua saba hadi nane kwa siku ili mwili wake uweze kuwa na afya njema.

Hata hivyo uchunguzi uliofanywa hivi karibuni umeonesha kuwa muda wa kulala usingizi umepungua kwa saa moja na nusu hadi masaa mawili kwa mtu, kwa kila usiku, kwa miaka karibu hamsini sasa. Hali hiyo imesababishwa na kukua kwa teknolojia na hasa ugunduzi wa taa za stima uliowezesha viwanda na makampuni mengi kuongeza muda wa kazi mpaka nyakati za usiku.

Taarifa ya European Heart Journal (2011) iliyo husisha uchunguzi wa watu 475,000 imeeleza kuwa watu wanaolala kwa muda mfupi zaidi wako katika hatari kubwa ya kupata magonjwa ya moyo kwa 48% endapo wataendelea na tabia yao ya kutolala vizuri kwa muda wa miaka 25. Aidha kutolala usingizi pia kunaongeza uwezekano wa kupata stroke kwa asilimia 15.
Taarifa hiyo ya uchunguzi imeeleza pia kwamba kulala usingizi kupita kiasi (masaa 9 au zaidi kwa siku) kunaweza kusababisha hatari ya kufa kwa kupata coronery heart desease kwa 38% na hatari ya kupata stroke kwa 65%.

Aidha kukosa usingizi kunaweza pia kusababisha kupungua kwa kinga ya mwili kupambana na maradhi, kuzeeka haraka na magonjwa ya ngozi. Hata hivyo madaktari hao wamefafanua kwamba kukosa usingizi pekee hakusababishi ugonjwa wa moyo, bali kunaongeza 'factors' nyingine nyingi za mtu kuweza kupata magonjwa ya moyo

Hivyo unapopiga masaa mengi kazini au kujinyima usingizi kwa sababu nyingine yoyote, kumbuka umuhimu wa usingizi wako ili pesa unazo ingiza usije kuzimaliza kwa kulipia madawa na kujiuguza.
 
Back
Top Bottom