Patakatifu TMI
Member
- Jun 30, 2023
- 11
- 38
1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu.
Mwanzo 18:14
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA?
2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana hata kama dalili hazionyeshi hivyo.
Marko 11:24
Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.
3: Maombi yanaondoa uwezekano wa kukata tamaa unapoona ulichopanga hakiendi kama ulivyotarajia.
Luka 18:1
Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa.
Anza kuchanganya malengo na mipango yako na maombi.