Hii ipo kikatiba?Ridhiwani aende wapi makubaliano ni akitoka muislamu anaingia MKRISTO, ndo utaratibu
Chama cha Mijitu mizandiki1. Inawezekana amegundua hayuko kwenye mbio za urais 2030, kwamba tayari wenye chama wameshaamua ni kati ya Nchimbi, Ridhiwani na wengine hivyo ameamua kujilipua kwa maslahi yake binafsi akiwa hana cha kupoteza tena.
2. Ni mkakati ulioukubaliwa na kupitishwa ndani ya chama chake kwamba yeye achukue upande huo wa kujifanya kiongozi wa mabadiliko ili kuwapooza raia ila ukweli ni kwamba hakuna mabadiliko yoyote anayoyakusudia.
3. Ametumwa na Watanganyika mashuhuri wanaoona Tanganyika inazidi kupoteza huku Zanzibar ikizidi kushamiri na kuwa na mamlaka makubwa sana hadi Tanganyika atibue maji tu.
Sijaona kosa la nchimbi au sijakuelewa mana katiba kufanyiwa marekebisho ni ilani ya ccm yenyewe anacho kusema nchimbi kipo kwenye ilani haja kengeuka chochote labda mnataka kutu hadaaa tuHayo makubaliano kuna uwezekano mkubwa yakavunjwa 2030 na huenda hiki ndicho kinamsumbua Nchimbi
Kwani aliepo mfumo uliotumika upo kwenye katiba?Hii ipo kikatiba?
NdioKwani aliepo mfumo uliotumika upo kwenye katiba?
Mambo mengi tu yako kwenye ilani ya CCM hata yale aliyokuwa anazungumza Polepole na Gwajima ila hayatakiwi kuzungumzwa au kuzungumzwa namna Nchimbi anazungumza, wanaCCM wanataka yazungumzwe kwa lugha ya Wasira.Sijaona kosa la nchimbi au sijakuelewa mana katiba kufanyiwa marekebisho ni ilani ya ccm yenyewe anacho kusema nchimbi kipo kwenye ilani haja kengeuka chochote labda mnataka kutu hadaaa tu
Umeshinda bro sitaki kubishana asubuhi asubuhiNdio
Yaj, ipo kwenye katiba kwamba Rais aliyepo madarakani akifariki basi Makamu wake ataapishwa kuwa Rais.Kwani aliepo mfumo uliotumika upo kwenye katiba?
Mimi siyo bro.Umeshinda bro sitaki kubishana asubuhi asubuhi
Sijaona kosa la nchimbi au sijakuelewa mana katiba kufanyiwa marekebisho ni ilani ya ccm yenyewe anacho kusema nchimbikipo kwenye ilani haja kengeuka chochote labda mnataka kutu hadaaa tu
I liked your reasoning japo namba 3 sikubalini nayo sana. Nina hili la kuongezea ili kunogesha mjadala zaidi. Kama ulikuwa unamsikiliza Polepole kabla hajauawa, alisema kuwa Samia alitaka kumbadilisha Nchimbi kama makamu wake wa rais kabla ya uchaguzi. Hata mwana dada Mange hili alilisema, kuwa walikuwa wamekosana i.e. Nchimbi na Samia. Je, kuna ukweli kwenye hili? Kinachofanyika sasa ni matokeo ya huo mgogoro au ni geresha yao? Be informed kuwa gazeti maarufu la African intelligence siku kadhaa zilizopita liliandika kuwa kuna mgororo kati ya Samia na Nchimbi. Kama kuna mgogoro wa kweli, je, Nchimbi ana backup ya kutosha kupimana nguvu na Samia plus Kikwete? ( Yes, Samia mama wa nyumbani mwenye elimu ya kuungaunga, kutoka Zanzibar, asingeweza kuwa na jeuri aliyonayo sasa hivi bila backup ya Kikwete). All in all, kama hivi vita ni genuine, na Nachimbi ana backup ya kutosha, basi ni suala linalofanana na mchezo wa chess, kila mmoja anasukuma kete yake kwa uangalifu, na kosa moja kutoka upande wowote, linaweza kumaliza mchezo haraka na bila kutegemewa.Kauli tata za Nchimbi tangu akiwa makamu wa Rais zinaweza kuwa zinasukumwa na yafuatayo
1. Inawezekana amegundua hayuko kwenye mbio za urais 2030, kwamba tayari wenye chama wameshaamua ni kati ya Nchimbi, Ridhiwani na wengine hivyo ameamua kujilipua kwa maslahi yake binafsi akiwa hana cha kupoteza tena.
2. Ni mkakati ulioukubaliwa na kupitishwa ndani ya chama chake kwamba yeye achukue upande huo wa kujifanya kiongozi wa mabadiliko ili kuwapooza raia ila ukweli ni kwamba hakuna mabadiliko yoyote anayoyakusudia.
3. Ametumwa au anatumika na Watanganyika mashuhuri wanaoona Tanganyika inazidi kupoteza huku Zanzibar ikizidi kushamiri na kuwa na mamlaka makubwa sana kuliko Tanganyika.
2030 mwinyi,miaka 69 ya uhuru wazanzibar wametoa rais miaka 20 tu, huwezi acha kipaji cha mwinyi kipite tuHayo makubaliano kuna uwezekano mkubwa yakavunjwa 2030 na huenda hiki ndicho kinamsumbua Nchimbi