Hili sipendi sana sababu siku hizi ukiwa mbwatukaji mzuri watu watakurekodi kisha wataishi na clip yako kwa hio umakini unahitajika, nishaachana na manzi mmoja sababu ya hio yaan yeye kila muda anataka tuongee tu yaan yeye tuongee nikamwambia bibie huo ujasusi wa maongezi hata mimi naujua safari njema.2. Maongezi
Kuna manzi mmoja alikuwa anapiga video call masaa nikatemana naye baada ya mwezi mmoja.. na anapiga muda wowote.Hili sipendi sana sababu siku hizi ukiwa mbwatukaji mzuri watu watakurekodi kisha wataishi na clip yako kwa hio umakini unahitajika, nishaachana na manzi mmoja sababu ya hio yaan yeye kila muda anataka tuongee tu yaan yeye tuongee nikamwambia bibie huo ujasusi wa maongezi hata mimi naujua safari njema.
Yule manzi nilimkataa kabisa halafu ni mkali sema pigo zake za kishamba wewe mtu anasema yeye meseji hawezi kutuma sababu mikono vidole sijui nini [kucha ndefu] yeye anataka WhatsApp audio [ili akurekodi], WhatsApp videos [ili akurekodi] na mkipiga anarekodi nikashtuka kengele ikalia kwamba huyu anakufanyia ujasusi wa maongezi anachukua info anakuuliza vitu sensitive sana mteme haraka sana, nikamwambia bibie huo ujasusi wa maongezi hata mimi naujua najua unachokifanya haya safari njema.Kuna manzi mmoja alikuwa anapiga video call masaa nikatemana naye baada ya mwezi mmoja.. na anapiga muda wowote.
Taken 💯Take care of your thoughts when you are alone,
and take care of your words when you are with people.
Heart desire 🥰Hapo kwenye msosi, kama unakula mlima au aina ya msosi, au mi ndio sijaelewa?
Chakula kinawezaje kukupa heshima au kukushusha hadhi?Heart desire 🥰
Hahha itakuwa coincidence tu hata siwafahamu😃
Ngono inaweza kukuweka kwenye nafas nzur kama unangonolika na watu wenye mifumo ya maofisini,biashara na hata vitengo nyeti maana utakua na uwezo wakupata inf mapema au kupenyeza ajenda zako zenye maslai tukumbuke hata majasus wengi hutumia NGONO kumlenga mt fulan lakini pia NGONO inaweza kukuingiza mtoni na kuondoka na maji kama utakua mt wa NGONO zembe