GoLC
JF-Expert Member
- Jul 10, 2025
- 268
- 466
Naam, matatu. Mawili ya hadharani na moja la faraghani. Nitayataja tu na sitayafafanua, maana yanajulikana. Kadhalika kila mmoja anajua ni kwa namna gani na aidha ni kwa wakati gani alishushiwa/jishushia heshima au alipewa heshima.
Mambo hayo ni haya;
1. Chakula
2. Maongezi
3. Ngono
Jiweka katika kila moja uone hali yako kabla na baada
Mambo hayo ni haya;
1. Chakula
2. Maongezi
3. Ngono
Jiweka katika kila moja uone hali yako kabla na baada