Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Buku 7, buku 5 bangi, buku bee msosi😆Hapo kwenye msosi ndio maana wengi huishia kuwa vyawa wa watu mtu kapewa msosi tu anaweza hata kuongea uwongo mahakamani
Buku 7, buku 5 bangi, buku bee msosi😆Hapo kwenye msosi ndio maana wengi huishia kuwa vyawa wa watu mtu kapewa msosi tu anaweza hata kuongea uwongo mahakamani
😄😁😁niliwahi kupataga kesi moja hivi pale kisutu dah! Yule shahidi yangu alinunuliwa nahisi maana alinikataa hadharani baadae nikaja kuambiwa mwenzio alikukataa kwa sababu ya njaa alipewa chakula akakukutaa hadharani haya maneno nilipewa na wakili wanguBuku 7, buku 5 bangi, buku bee msosi😆
Duhh ila binadmau tuna tamaa sana mkuu! Watu wanakana mpaka wapenzi wao kisa chochote kitu🥺😄😁😁niliwahi kupataga kesi moja hivi pale kisutu dah! Yule shahidi yangu alinunuliwa nahisi maana alinikataa hadharani baadae nikaja kuambiwa mwenzio alikukataa kwa sababu ya njaa alipewa chakula akakukutaa hadharani haya maneno nilipewa na wakili wangu
🤔Naam, matatu. Mawili ya hadharani na moja la faraghani. Nitayataja tu na sitayafafanua, maana yanajulikana. Kadhalika kila mmoja anajua ni kwa namna gani na aidha ni kwa wakati gani alishushiwa/jishushia heshima au alipewa heshima.
Mambo hayo ni haya;
1. Chakula
2. Maongezi
3. Ngono
Jiweka katika kila moja uone hali yako kabla na baada
Leta muendelezo wa kesi tajiri wa Kigamboni,😄😁😁niliwahi kupataga kesi moja hivi pale kisutu dah! Yule shahidi yangu alinunuliwa nahisi maana alinikataa hadharani baadae nikaja kuambiwa mwenzio alikukataa kwa sababu ya njaa alipewa chakula akakukutaa hadharani haya maneno nilipewa na wakili wangu
Hiyo ni namna moja japo sio halali na njema machoni jamii. Huyohuyo anayepanda kutokana na kungonoka vizuri ujue anaweza kuwa mwenza wa mtu. Kadhalika jamii ikitambua hilo ni wazi huyu mtu hadhi yake itaporomoka.Ngono inaweza kukuweka kwenye nafas nzur kama unangonolika na watu wenye mifumo ya maofisini,biashara na hata vitengo nyeti maana utakua na uwezo wakupata inf mapema au kupenyeza ajenda zako zenye maslai tukumbuke hata majasus wengi hutumia NGONO kumlenga mt fulan lakini pia NGONO inaweza kukuingiza mtoni na kuondoka na maji kama utakua mt wa NGONO zembe
TumboNawaza hapo kwenye CHAKULA
ni kweli mkuu pombe sio chai,pombe inakuondolea heshima mara mojaPombe ilibidi iwe namba moja
Siyo ngono zembe pekee inayoweza kukugharimu, hata ngono salama, ukiidekeza unakwenda na maji.Ngono inaweza kukuweka kwenye nafas nzur kama unangonolika na watu wenye mifumo ya maofisini,biashara na hata vitengo nyeti maana utakua na uwezo wakupata inf mapema au kupenyeza ajenda zako zenye maslai tukumbuke hata majasus wengi hutumia NGONO kumlenga mt fulan lakini pia NGONO inaweza kukuingiza mtoni na kuondoka na maji kama utakua mt wa NGONO zembe
Umeandika kilichokuwa mawazoni mwangu kabisaMaongez yako pia yanaweza kukujenge nafas nzuri au mbaya nivile tu unazungumza nini na nani kwa wakat gani,sikuiz kuzungumza vizur ni ni mtaji kisiasa ata kua mzungumzaji kwa niaba ya taasisi,watu binafsi na mwisho watu wanaozungumza vizur na kwa staha pia wanakuaga na ushawishi mzur wa mambo mbalimbali ila kama mazungumzo yako ni ya ovyo asee yatakutia mton
Ni hatari sana nduguDuhh ila binadmau tuna tamaa sana mkuu! Watu wanakana mpaka wapenzi wao kisa chochote kitu🥺
Kaka naogopa nisije tena nikarudi kule maana kwa sasa sina hela ya kuwalipa wanasheria waje kunitetea tena unaweza kuta walionishitaki wanaona navyoandika humu😃😄😁Leta muendelezo wa kesi tajiri wa Kigamboni,
Ikawaje sasa?
Duniani wawiliwawili