Mambo matatu yanayoweza aidha kukupa heshima au kukushushia hadhi

Mambo matatu yanayoweza aidha kukupa heshima au kukushushia hadhi

Buku 7, buku 5 bangi, buku bee msosi😆
😄😁😁niliwahi kupataga kesi moja hivi pale kisutu dah! Yule shahidi yangu alinunuliwa nahisi maana alinikataa hadharani baadae nikaja kuambiwa mwenzio alikukataa kwa sababu ya njaa alipewa chakula akakukutaa hadharani haya maneno nilipewa na wakili wangu
 
Duhh ila binadmau tuna tamaa sana mkuu! Watu wanakana mpaka wapenzi wao kisa chochote kitu🥺
 
Naam, matatu. Mawili ya hadharani na moja la faraghani. Nitayataja tu na sitayafafanua, maana yanajulikana. Kadhalika kila mmoja anajua ni kwa namna gani na aidha ni kwa wakati gani alishushiwa/jishushia heshima au alipewa heshima.

Mambo hayo ni haya;
1. Chakula
2. Maongezi
3. Ngono
Jiweka katika kila moja uone hali yako kabla na baada
🤔
 
😄😁😁niliwahi kupataga kesi moja hivi pale kisutu dah! Yule shahidi yangu alinunuliwa nahisi maana alinikataa hadharani baadae nikaja kuambiwa mwenzio alikukataa kwa sababu ya njaa alipewa chakula akakukutaa hadharani haya maneno nilipewa na wakili wangu
Leta muendelezo wa kesi tajiri wa Kigamboni,
Ikawaje sasa?
 
Ngono inaweza kukuweka kwenye nafas nzur kama unangonolika na watu wenye mifumo ya maofisini,biashara na hata vitengo nyeti maana utakua na uwezo wakupata inf mapema au kupenyeza ajenda zako zenye maslai tukumbuke hata majasus wengi hutumia NGONO kumlenga mt fulan lakini pia NGONO inaweza kukuingiza mtoni na kuondoka na maji kama utakua mt wa NGONO zembe
Hiyo ni namna moja japo sio halali na njema machoni jamii. Huyohuyo anayepanda kutokana na kungonoka vizuri ujue anaweza kuwa mwenza wa mtu. Kadhalika jamii ikitambua hilo ni wazi huyu mtu hadhi yake itaporomoka.

Mtu anaweza kuwa na nafasi kijamii ila kimaadili ni hovyo tu. Watu wanamwona hovyo tu kutokana na tabia kama hizo
 
Hivyo vyote vina maagano au mikataba ya Kiroho Spiritual...ni milango ya kiroho.

na ulimwengu wa Roho(usio onekana) unatawala ulimwengu wa kimwli(physical--unao onekana).

1)chakula kuna mtu aliuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza na baraka zake kwa kubadilishana na sahani ya chakula au bakuli la supu..

Kuna watu wameibiwa baraka zao na nyota zao kupitia vyakula,au kuna watu wamelogwa chawiwa kupitia vyakula
na hata kufa kuuawa kabisa au kuwa masikini nakuharibikiwa kabisa kupitia chakula.

2)NGONO kadhalika kama namba 1. ni dhambi ambayo imekewewa kwa maangalizo makali sana

3)Maneno-huumba ,hata mpumbavu huonekana mwerevu akiamua kukaa kimya.

unategwa kwa maneno ya kinywa chako...ULIMI ni kiungo ambacho kimetajwa kwa maangalizo makali sana...ni kiungo kidogo chenye madhara makubwa ,na hata mizaha imekemewa kwa maangalizo makali hata kuongea kwa kutania tu..mana maneno huumba na kuweka maagano kiroho...
 
Kwenye chakula kama natumia hela yangu,nyie semeni sijui nioneni kituko mtakavyoona ila kula siachi ng’o!

Vibaya upo ugenini unataka ule kama upo kwenu.
 
Ngono inaweza kukuweka kwenye nafas nzur kama unangonolika na watu wenye mifumo ya maofisini,biashara na hata vitengo nyeti maana utakua na uwezo wakupata inf mapema au kupenyeza ajenda zako zenye maslai tukumbuke hata majasus wengi hutumia NGONO kumlenga mt fulan lakini pia NGONO inaweza kukuingiza mtoni na kuondoka na maji kama utakua mt wa NGONO zembe
Siyo ngono zembe pekee inayoweza kukugharimu, hata ngono salama, ukiidekeza unakwenda na maji.
 
Maongez yako pia yanaweza kukujenge nafas nzuri au mbaya nivile tu unazungumza nini na nani kwa wakat gani,sikuiz kuzungumza vizur ni ni mtaji kisiasa ata kua mzungumzaji kwa niaba ya taasisi,watu binafsi na mwisho watu wanaozungumza vizur na kwa staha pia wanakuaga na ushawishi mzur wa mambo mbalimbali ila kama mazungumzo yako ni ya ovyo asee yatakutia mton
Umeandika kilichokuwa mawazoni mwangu kabisa
 
Back
Top Bottom