Mambo mawili ya kushangaza na kuvutia kuhusu Rais wa ROC (Taiwan) Tsai ing-wen

TPP

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
650
Reaction score
783
你好

TSAI ING-WEN
(0).png

1. Je, unafahamu Rais wa Jamhuri ya China Tsai ing-wen kuwa hana mme ?
Ndio, Tsa Ing-wen ndie Rais wa kwanza wa kike wa ROC. ambaye pia haja olewa na hana mme kama patner katika maisha yake.

Hili ni jambo la kushangaza pia kuvutia kuhusu Rais huyu kwa kuwa haija zoeleka kwa viongozi mbalimbali wa dunia Kutokuwa na wenza wao waonekanapo sehemu mbalimbali.

2. Je, wafahamu Rais Tsa Ing-wen hana watoto?
Ndio, Ms Tsai hana mtoto wala watoto pia hili laweza kuwa jambo la kushangaza kwa watu wengi wasio jua kuhusu Tsai ing-wen.

Hayo ndio mambo mawili ya kushangaza na kuvutia kuhusu Rais wa Jamhuri ya China Tsai Ing-wen.

Tsai Ing-wen ni mzaliwa wa Taipei, Taiwan 1956 ana umri wa miaka 67 ni mwanachama wa chama cha Democratic Progressive Party(DPP).
 
Alafu jamaa anasema jamhur ya china vitoko kwan vmeshuka bei au...
 
你好

TSAI ING-WENView attachment 2630377

unasema miaka 67 kwa picha iyo au alipiga wakati anamiaka 30 mbna bado mrembo kingine acha wenge china haina raisi mwanamke labda uko taiwan
 
Hiyo picha ni ya muda mrefu licha ya kuwa sio mzee.

Jamhuri ya China inaongozwa na Rais wa jinsia ya kike Tsai ing-wen.
 
Kama hana mume atakuwa kama Mirembe Suleiman
 
  • Thanks
Reactions: TPP
你好

TSAI ING-WENView attachment 2630377

1. Je, unafahamu Rais wa Jamhuri ya China Tsai ing-wen kuwa hana mme ?
Ndio, Tsa Ing-wen ndie Rais wa kwanza wa kike wa ROC. ambaye pia haja olewa na hana mme kama patner katika maisha yake.

Hili ni jambo la kushangaza pia kuvutia kuhusu Rais huyu kwa kuwa haija zoeleka kwa viongozi mbalimbali wa dunia Kutokuwa na wenza wao waonekanapo sehemu mbalimbali.

2. Je, wafahamu Rais Tsa Ing-wen hana watoto?
Ndio, Ms Tsai hana mtoto wala watoto pia hili laweza kuwa jambo la kushangaza kwa watu wengi wasio jua kuhusu Tsai ing-wen.

Hayo ndio mambo mawili ya kushangaza na kuvutia kuhusu Rais wa Jamhuri ya China Tsai Ing-wen.

Tsai Ing-wen ni mzaliwa wa Taipei, Taiwan 1956 ana umri wa miaka 67 ni mwanachama wa chama cha Democratic Progressive Party(DPP).
Huu ni uvunjaji wa sheria za haki za binadamu na Jamii Forum

Inaonesha ni kwa jinsi gani hauna akili kichwani mwako, kujadili watu badala ya kujadili mawazo.

Nia yako na ajenda yako imeshajulikana, unapushi kwa nguvu kubwa ajenda za chama chako CCP, unavuka mipaka mpaka unaingilia personal privacy za watu
 
你好

TSAI ING-WENView attachment 2630377

1. Je, unafahamu Rais wa Jamhuri ya China Tsai ing-wen kuwa hana mme ?
Ndio, Tsa Ing-wen ndie Rais wa kwanza wa kike wa ROC. ambaye pia haja olewa na hana mme kama patner katika maisha yake.

Hili ni jambo la kushangaza pia kuvutia kuhusu Rais huyu kwa kuwa haija zoeleka kwa viongozi mbalimbali wa dunia Kutokuwa na wenza wao waonekanapo sehemu mbalimbali.

2. Je, wafahamu Rais Tsa Ing-wen hana watoto?
Ndio, Ms Tsai hana mtoto wala watoto pia hili laweza kuwa jambo la kushangaza kwa watu wengi wasio jua kuhusu Tsai ing-wen.

Hayo ndio mambo mawili ya kushangaza na kuvutia kuhusu Rais wa Jamhuri ya China Tsai Ing-wen.

Tsai Ing-wen ni mzaliwa wa Taipei, Taiwan 1956 ana umri wa miaka 67 ni mwanachama wa chama cha Democratic Progressive Party(DPP).
Nilikuja nikijua kuna hoja za kipekee, kumbe ni kuwa na kuhusu kulewa na watoto! hizi hoja hazina maana yoyote kwa sasa.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Rais wa Jamhuri ya Watu wa China mbona ni X Jinping?
 
  • Thanks
Reactions: TPP
Rais wa Jamhuri ya Watu wa China mbona ni X Jinping?
Kuna Jamhuri ya China na kuna Jamhuri ya watu wa China.

Tsai ing-wen ni Rais wa Jamhuri ya China, Xi Jinping ni Rais wa Jamhuri ya watu wa China.
 
Back
Top Bottom