OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ule ulikuwa utawala dhalimu na wa hovyo kabisaHivi kuna mtu yeyote ambaye ni Binadamu anaweza kusamehe ile awamu ?
Kutokusamehe ni kujibebesha mzigo mzito na anayeumia ni yule aliyegoma kusamehe.Utangulizi
Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo.
Mambo Mawili
1. Kushamili kwa mauaji na utekaji
2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu yalichagua upinzani
Mambo yote hayo ni kinyume na haki za binaadamu. Haya sio makosa ya kibinadamu,yamefanywa na mfumo. Mfumo umeelekeza jinsi ya kupeleka maendeleo. Unapofanya tofauti maana yake unafanya makusudi
Bora kuwa na mzigo lakini siyo kumsamehe yule shetani kabisaKutokusamehe ni kujibebesha mzigo mzito na anayeumia ni yule aliyegoma kusamehe.
Ila we hujauwawa wala hujafa?Utangulizi
Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo.
Mambo Mawili
1. Kushamili kwa mauaji na utekaji
2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu yalichagua upinzani
Mambo yote hayo ni kinyume na haki za binaadamu. Haya sio makosa ya kibinadamu,yamefanywa na mfumo. Mfumo umeelekeza jinsi ya kupeleka maendeleo. Unapofanya tofauti maana yake unafanya makusudi
hoja ya kijingaIla we hujauwawa au hujafa?
Una tofauti gani na motivational speakers wa kulima matikiti tu hadi kujenga ghorofa nakati muda huo hawana hata banda la kuku na wanaishi tu kwa Shemeji zao [emoji848][emoji19]
Kweli usimjibu Mpumbavu sawa na Upumbavu wake....ulichoongea kimebainisha Upambavu yaani umevuka stage ya ujingaIla we hujauwawa au hujafa?
Una tofauti gani na motivational speakers wa kulima matikiti tu hadi kujenga ghorofa nakati muda huo hawana hata banda la kuku na wanaishi tu kwa Shemeji zao [emoji848][emoji19]
Pale taahira akiwa hamtambui punguwanihoja ya kijinga
Siku zote nyani huwa haoni kunduleKweli usimjibu Mpumbavu sawa na Upumbavu wake....ulichoongea kimebainisha Upambavu yaani umevuka stage ya ujinga
Ungefafanua kwa mfano hilo la mauaji ni kama yapi? Wakati JK anaondoka aliacha mauaji kule kibiti na mkuranga yakiendelea. Tena kwa polisi na raia. Wasingekufa hao unaosema mauaji yalishamiri jua tu ungeshuhudia aina nyingine ya mauaji ikiwemo ile ya kukatwa visogo raia.Utangulizi
Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo.
Mambo Mawili
1. Kushamili kwa mauaji na utekaji
2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu yalichagua upinzani
Mambo yote hayo ni kinyume na haki za binaadamu. Haya sio makosa ya kibinadamu,yamefanywa na mfumo. Mfumo umeelekeza jinsi ya kupeleka maendeleo. Unapofanya tofauti maana yake unafanya makusudi
Kwani iliwahi kuwaomba msamaha?Hivi kuna mtu yeyote ambaye ni Binadamu anaweza kusamehe ile awamu ?
Nadhani una Naboce ya pale DSA ya zamani!Utangulizi
Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo.
Mambo Mawili
1. Kushamili kwa mauaji na utekaji
2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu yalichagua upinzani
Mambo yote hayo ni kinyume na haki za binaadamu. Haya sio makosa ya kibinadamu,yamefanywa na mfumo. Mfumo umeelekeza jinsi ya kupeleka maendeleo. Unapofanya tofauti maana yake unafanya makusudi
Hata mimi niko tayari kuubeba huo mzingo kuliko kumsamehe shetaniBora kuwa na mzigo lakini siyo kumsamehe yule shetani kabisa
Sasa hii ni hoja gani, usijekuwa wewe ni Sukuma gangIla we hujauwawa au hujafa?
Una tofauti gani na motivational speakers wa kulima matikiti tu hadi kujenga ghorofa nakati muda huo hawana hata banda la kuku na wanaishi tu kwa Shemeji zao [emoji848][emoji19]
Kwelu mkuu, yule shetani hatakiwi kusamehewa na kiumbe yoyote.Ule utawala hauhitaji msamaha wako