Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

Utangulizi
Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo.

Mambo Mawili
1. Kushamiri kwa mauaji na utekaji
2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu yalichagua upinzani

Mambo yote hayo ni kinyume na haki za binaadamu. Haya sio makosa ya kibinadamu,yamefanywa na mfumo. Mfumo umeelekeza jinsi ya kupeleka maendeleo. Unapofanya tofauti maana yake unafanya makusudi
Vipi kuhusu wizi wa kura?
 
Weka takwimu ili tujue nani kafanya nini
Tanzania ilianza kujengwa tangu enzi za Mjerumani,Mwingereza,Mwl Julius Kambarage Nyerere,Ali Hassan Mwinyi,Benjamin Wiliam Mkapa,Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,John Pombe Magufuri,na sasa ni Samia Hasan Suluhu na bado itaendelea kujengwa hadi mwisho wa dunia,kwa hiyo ombi lako la takwimu limekataliwa.
 
Back
Top Bottom