Napata shida sana kukubaliana na wewe,kama mauaji ya waziwazi yalifanyika kipindi cha mkapa Zanzibar waliuwawa waziwazi watu zaidi ya 25 kipindi cha uchaguzi,kipindi cha Mwinyi waliuawa waislam wengi tu mwembechai,Ya Kikwete na akina ulimboka na Mwangosi aliyeuwawa mbeya na dunia nzima ikaona bila chenga.Ukiniambia Magufuli aliwapiga watu flani mliotoka zone moja mliozoea ubinafsi na wenye roho za visasi ntakubaliana na wewe.Lakini tofauti na kauli zenye ukakasi sijaona ukatili wa mauaji wenye ushahidi wa wazi wazi aliofanya Magufuli ukilinganisha na watangulizi wake.Na mwishoe tukubaliane tu kuwa hawa viongozi huwa wanabeba lawama za watendaji wao wa chini but so far sijaona dictator hii nchi.