Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

Ungefafanua kwa mfano hilo la mauaji ni kama yapi? Wakati JK anaondoka aliacha mauaji kule kibiti na mkuranga yakiendelea. Tena kwa polisi na raia. Wasingekufa hao unaosema mauaji yalishamiri jua tu ungeshuhudia aina nyingine ya mauaji ikiwemo ile ya kukatwa visogo raia.

Kuhusu matamshi ya upinzani na maendeleo inaeleweka wazi hakuna mahali Jiwe hakugusa kimaendeleo labda kama hukuwa mfuatiliaji. Lakini ujue politics is a game of chance. Kusema sio kutenda ndio maana alipeleka maendeleo. Hao kina mbowe walituaminisha kwa takribani miaka nane kuwa lowasa fisadi na ilipofika 2015 wakatuambia mwenye ushahidi aende mahakamani.
Siasa=sihasa !! ??
 
Kumbe we ni ndumilakuwili unaangalia baadhi ya maneno na kumkubali Mwamba wa duniani JPM [emoji848]

Sasa mbona aliposema hakuna COVID 19 msihangaike na dawa za mabeberu hukukubali hatimaye ukaweka watu lock down na barakoa za usanii kibao ila bado hakuna lolote zaidi ya kufata msimamo wake JPM na kuamini hakuna COVID 19 [emoji848][emoji847]
Then Covid-19 ikamfanyaje?
 
Sasa undhani wote ni wanyonge kama wewe? Naamini hata nikiweka CV yangu hapa hakuna hata

Eti hyo elimu ya memkwa ukoo gani wa maana zaidi ya walevi na waizi
Unamtisha nan elimu huna hats ugunduzi kugombani palr utumishi umedunda tatizo huko nyuma kuiba mitihani kucopy assignment chuo mpaka rsearch unadhani utamudu interview

Kawatishe huko kijijini kwenu maana hawana elimu
mmoja kwenye ukoo wako anaweza fikiaet
 
Daaa,ila lissu ana moyo wa paka aisee,risasi moja mtu anakuwa tayari yupo akhera kuimba pambio but yenye risasi lukuki still anasurvive...kweli kama Mungu hajaamua hajaamua tu
 
Ila we hujauwawa wala hujafa?

Una tofauti gani na motivational speakers wa kulima matikiti tu hadi kujenga ghorofa nakati muda huo hawana hata banda la kuku na wanaishi tu kwa Shemeji zao [emoji848][emoji19]
Kwa mpaka limkute yeye ndo aseme hayo? Hoja mfu..!!!Makosa yanakuwa makosa pale yanapopinga na taratibu zilizowekwa na jamii husika... Kama madhara ya makosa hayo hayajakupata wewe, HAIHALALISHI MAKOSA HAYO
 
Lile jamaa lilikua zaidi ya shetwanii
JamiiForums-25851338.jpg
 
Utangulizi
Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo.

Mambo Mawili
1. Kushamiri kwa mauaji na utekaji
2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu yalichagua upinzani

Mambo yote hayo ni kinyume na haki za binaadamu. Haya sio makosa ya kibinadamu,yamefanywa na mfumo. Mfumo umeelekeza jinsi ya kupeleka maendeleo. Unapofanya tofauti maana yake unafanya makusudi
3. Kulazimisha Uchaguzi wa vitongoji na Miata wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 uwe wa watu wa CCM tu.

Halafu bado Watanzania wajinga wanasema alifanya mengi mazuri!! Wajinga sana kwa kweli
 
Utangulizi
Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo.

Mambo Mawili
1. Kushamiri kwa mauaji na utekaji
2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu yalichagua upinzani

Mambo yote hayo ni kinyume na haki za binaadamu. Haya sio makosa ya kibinadamu,yamefanywa na mfumo. Mfumo umeelekeza jinsi ya kupeleka maendeleo. Unapofanya tofauti maana yake unafanya makusudi
Tulipigwa Watanzania kuwa na Kiongozi ya Aina ya yule Mtu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Utangulizi
Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo.

Mambo Mawili
1. Kushamiri kwa mauaji na utekaji
2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu yalichagua upinzani

Mambo yote hayo ni kinyume na haki za binaadamu. Haya sio makosa ya kibinadamu,yamefanywa na mfumo. Mfumo umeelekeza jinsi ya kupeleka maendeleo. Unapofanya tofauti maana yake unafanya makusudi
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Furauni.
 
Kwa kweli ile awamu ilikuwa inatupeleka kubaya kutengeneza ulemavu kwa baadhi ya watu,kufilisi uchumi wa nchi na wananchi kwa ujumla,kuua demokrasia nchini,ile awamu ni ya kikatili sana.
 
Back
Top Bottom