Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

Mambo mawili yanafanya nisiusamehe utawala wa Awamu ya Tano

Utangulizi
Msipinge tukiijadili awamu ya tano. Hii ni historia mbichi, na historia ni funzo. Itabaki kwenye kumbukumbu milele kwamba tumewahi kuwa na utawala wa hovyo.

Mambo Mawili
1. Kushamiri kwa mauaji na utekaji
2. Tamko la Magufuli kwamba hakupeleka maendeleo baadhi ya majimbo kwa sababu yalichagua upinzani

Mambo yote hayo ni kinyume na haki za binaadamu. Haya sio makosa ya kibinadamu,yamefanywa na mfumo. Mfumo umeelekeza jinsi ya kupeleka maendeleo. Unapofanya tofauti maana yake unafanya makusudi
Basi usiusamehe tujue moja
 
So we unaandika kutokea kuzimu [emoji23][emoji23][emoji16][emoji22][emoji22] husamehi Vipi ! Ila alokuumba ana samehe we umekua Nani !! Au we unajikuta msafi sana [emoji3][emoji23][emoji23] pole sana
Jiwe alivunja rekodi ya uhalifu na ufirisi kwakweli
 
Mimi hata ajira sijawahi itafuta. Napiga mishe zangu tu, sasa unaposema cheti feki huoni kama unajifanya mpumbavu kama Jiwe
Upate wapi iyo ajira elimu ya kuiba mitihani pambana na hali yako
 
Mbona jiwe aliuona ukichaa wake mpaka akawa anasema adharani kuwa yeye ni kichaa?
Kumbe we ni ndumilakuwili unaangalia baadhi ya maneno na kumkubali Mwamba wa duniani JPM [emoji848]

Sasa mbona aliposema hakuna COVID 19 msihangaike na dawa za mabeberu hukukubali hatimaye ukaweka watu lock down na barakoa za usanii kibao ila bado hakuna lolote zaidi ya kufata msimamo wake JPM na kuamini hakuna COVID 19 [emoji848][emoji847]
 
Ungefafanua kwa mfano hilo la mauaji ni kama yapi? Wakati JK anaondoka aliacha mauaji kule kibiti na mkuranga yakiendelea. Tena kwa polisi na raia. Wasingekufa hao unaosema mauaji yalishamiri jua tu ungeshuhudia aina nyingine ya mauaji ikiwemo ile ya kukatwa visogo raia.

Kuhusu matamshi ya upinzani na maendeleo inaeleweka wazi hakuna mahali Jiwe hakugusa kimaendeleo labda kama hukuwa mfuatiliaji. Lakini ujue politics is a game of chance. Kusema sio kutenda ndio maana alipeleka maendeleo. Hao kina mbowe walituaminisha kwa takribani miaka nane kuwa lowasa fisadi na ilipofika 2015 wakatuambia mwenye ushahidi aende mahakamani.
Una ushahidi kuwa alipeleka fedha za maendeleo Moshi? He was a cursed man. Ndiyo maana akafia ikulu kinyume na propaganda walizokuwa wanatuletea CCM kuwa Lowassa ndiye angefia ikulu.
 
Nchi hii
FB_IMG_16513299441022062.jpg
 
Back
Top Bottom