Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Gudmng
Tukamate hii kutoka kwa mwl Newton Gordian
“Ukweli ni kwamba mambo mengi tunayokwama na kushindwa kufanikiwa hayatokani na mapepo wala wachawi ila asilimia kubwa inatokana na kutokutii sauti ya Mungu na kutokufuata maagizo yake.
Kuna wakati wala wachawi hawahusiki wala mapepo ila ni dhambi tu ni kikwazo ..
Mambo mengi yanaweza kufunguka kwa kutubu dhambi tu ...Toba tu kuomba rehema tu ..
Kiwango chetu cha utii kwa Mungu wetu ndicho kinachoamua matokeo ya maombi yetu kwa Mungu...
Isaya 1
18 haya, njoni, tusemezane, asema bwana. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
19 kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi;
Mema ya nchi yamefichwa katika kumtii mungu wetu ..
Matendo ya mitume 3
19 tubuni basi, mrejee, ili dhambi zenu zifutwe, zipate kuja nyakati za kuburudishwa kwa kuwako kwake bwana;
Kuburudishwa kumefichwa kwenye kutubu na kurejea kwenye kusikia sauti ya mungu ...”
Barikiwa
Mwl Gordian Newton