Mambo mengine si muhimu lakini yakikosekana yanaboa

Sasa kama jirani yako naye akiwa member humu si utakuwa umeanzisha uhasama usio wa lazima??
Walimwengu wana mambo sana.
Si rahisi kujua ndio maana sikutoa code naenda wapi,lau ningetoa code natoka wapi na kuenda wapi labda kidogo inaweza kuclick kichwani
 
Kaazi kweli kweli......

Nimesafiri na treni na nazipenda zaidi kuliko basi.....

Eh bhna kule kuzoeana me na me au ke na me chapu tu

Ila kwenye mabus jau kinoma ukauzu mwingi

Ufike salama
Nashukuru boss nilifika salama around saa moja asubuhi
 
Mimi uwa siongei njiani ,haijalishi nimekaa na nani!
Wala kula kula njiani.
Kuhusu kula kula njiani tupo sawa,labda vitu kama biscuit hv,lkn sijui mahindi mara sijui nyama au misikaki hapana,labda tufike mahala kabisa hotelini sawa
 
Nipo safarini,tena safar ndefu imeanza saa kumi nafika kesho asubuhi inshallah,sasa kwa safari kama hii unatarajia seat mate wako atakuwa mwanamke,nimechill dirishani kabisa natarajia jirani atakuja dem eeh anakuja mwamba mpaka nimechoka

Sijui tutaongea nini na huyu mwamba,hapa sana sana story za chadema na mengine ambayo ambayo yatafanya safar izidi kuwa ndefu,lkn ukiwa na mchuchu pembeni walau safar inakuwa na mvuto,sio lazima muwe kimapenzi zaidi laa,ila kuna raha fulani ukiwa safar ndefu na dem pembeni yako mnaweza fanya hata meditation ya hisia

Si unajua usiku mara umelaliwa kwenye bega mara unasikiliza mastory basi safar inakuwa fupi kiasi fulani

Yani mwaka naona umeanza kimachale sana kwa upande wangu,halafu kibaya zaidi ukicheki siti nyingine napo wamekaa warembo watupu,natamani tubadishane mimi niende kule na mmoja aje kwa huyu mwamba

Anyway nikifanikiwa kubadilisha siti nitawaambia,mkiona kimya ujue mambo ya network si unajua road network inahama hama

Ni hayo tu!
Ila wewe
 
wazinzi huwa mnajipa tabu sana!

Wazinzi huwa mnajipa tabu sana, aysee!!!
 
Back
Top Bottom