Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamsaidia mtoto mmoja then safari inakuwa rahiiisiiiHujawahi kukaa na mama mwenye watoto wadogo wewe!
Anaweza akakwambia umshikie ili ambadilishe pampasSijawahi ila nahisi usumbufu haukosekani
Worse enough ni kwamba wanafanya makusudiWanaoandika R badala ya L wanakera.
Mfano(Chakura badala ya chakula, Nibadirishie badala ya nibadilishie)
Nakereka sana aisee.
Mwezi wa saba nlienda Moshi safari ya usiku chuma BM nlikaaa na mzee swala 5++ yule mzee sijui Ile ni kama anatafuna vitunguu Swaum karafuu na manini sijui Yale hata sikufika mbali nliongea na konda akafanya maarifaMuombe konda akubadilishie seat, unaacha kuomba ufike salama unakokwenda unatamani yutiayi ๐
Kabisa, hope umefika salama,umeona eeh ni shidaaa! Uko good lkn
Yep alhamdulillah nilifika salama kabisa,poa jioni njemaKabisa, hope umefika salama,
Kwa hakika umefanya kitu kizuri sana boss, sometime hauhitaji gharama kubwa kushow love,naamini kabisa uliikamilisha siku yake vizur sanaOne time natoka Manyara naenda Dar safari ya usiku kwenye siti yupo binti wa kiIraqw na watoto wawili. Mmoja ni kachanga na mwingine yupo kwenye umri wa miaka 4 au 5 hivi.
Mwanzo nikaghafilika, halafu nikajiambia hakuna namna huyu angeweza mkatia mwanae siti halafu asimkatie. So nikaacha akae dirishani halafu nikakaa kalio moja ili mwanae awe anakaa angalau asipakatwe muda wote.
Nafikiri hicho ndiyo kitu best nimefanya nikiwa safarini.
To be honest jamaa ni mtu poa sanaNoma aise, Ila unaweza kuta mwamba ni loyal sana mpaka ukaenjoy safari.
Tena unaweza kuta ungekaa na pisi yenye maringo, muda wote earbugs.To be honest jamaa ni mtu poa sana
๐๐๐Huyo itakuwa kakaaang kabisa nilivo na bahat mbaya nikikaa na mwanaume km hajaomba namba tukifika bas ataanza maongez nje ya safari ninachofanyaga ni kulala had kieleweeke Yani usingiz unaisha najifunika na mtandio usoni njifnya nimelala ๐๐๐๐Huyu mwamba analala balaa,tulipiga mwanzo mbili tatu story fresh tu,ila mwamba analala balaa,now kalala tena
Ukikaa na mimi ni Swagga mwanzo mwisho, utajikuta tu Mrembo unasema tuchukue room ๐๐๐พ๐๐๐Huyo itakuwa kakaaang kabisa nilivo na bahat mbaya nikikaa na mwanaume km hajaomba namba tukifika bas ataanza maongez nje ya safari ninachofanyaga ni kulala had kieleweeke Yani usingiz unaisha najifunika na mtandio usoni njifnya nimelala ๐๐๐๐
Ila mko wengi kuna mmoja jana alikuwa amekaa mbele mbele,dereva anasema tukitoka hapa mafinga tutachimba dawa morogoro,yeye hana habar kajifunika tu,nikajisemea kuna mwendo kama wa masaa matano muache ajikaushe akipata pee atajua pa kuchimbia dawa๐๐๐Huyo itakuwa kakaaang kabisa nilivo na bahat mbaya nikikaa na mwanaume km hajaomba namba tukifika bas ataanza maongez nje ya safari ninachofanyaga ni kulala had kieleweeke Yani usingiz unaisha najifunika na mtandio usoni njifnya nimelala ๐๐๐๐
Huo mda huupati Yan nalala nikiamka kuchimba dawa Nachukua chakula nikimaliza kula nalala Tena Tena usiombe nikae dirishan nakuwekea mgongo kabisa napandisha najifanya usingiz umekolea ๐๐๐Ukikaa na mimi ni Swagga mwanzo mwisho, utajikuta tu Mrembo unasema tuchukue room ๐๐๐พ
Hali hii niliwahikutana nayo nimepanda gari pale chalinze kwenda mwanza , mara baada ya kukaa kwenye siti mama mwenye watoto wawili akaja , mtoto mmoja wa miezi huyu mwingine kama miaka miwili, daaa nikachoka akili nikasema safari imeshakua ndefu hii nikamsaidia mtoto naye akauliza nashuka wapi nikasema nyegezi naye pia akasema anashuka nyegezi nikajiambia moyoni hapa hakuna namna nilimbeba mtoto mpka tunafika mwanza niko hoi lkn hakukuwa na namna zaidi ya kumsaidiaOne time natoka Manyara naenda Dar safari ya usiku kwenye siti yupo binti wa kiIraqw na watoto wawili. Mmoja ni kachanga na mwingine yupo kwenye umri wa miaka 4 au 5 hivi.
Mwanzo nikaghafilika, halafu nikajiambia hakuna namna huyu angeweza mkatia mwanae siti halafu asimkatie. So nikaacha akae dirishani halafu nikakaa kalio moja ili mwanae awe anakaa angalau asipakatwe muda wote.
Nafikiri hicho ndiyo kitu best nimefanya nikiwa safarini.
๐๐๐Mm nakuwa silali nasikia kilakitu navaa ushungi hivo nachofanya nausogeza usoni ๐๐Ila mko wengi kuna mmoja jana alikuwa amekaa amekaa mbele mbele,dereva anasema tukitoka hapa mafinga tutachumba dawa morogoro,yeye hana habar kajifunika tu,nikajisemea kuna mwendo kama wa masaa matano muache ajikaushe akipata pee atajua pa kuchimbia dawa
Hahah nimekumbuka nilitoka dom mpka Moro nimelala yule baba ikabidi anaiulize Dada unaumwa malaria?Huo mda huupati Yan nalala nikiamka kuchimba dawa Nachukua chakula nikimaliza kula nalala Tena Tena usiombe nikae dirishan nakuwekea mgongo kabisa napandisha najifanya usingiz umekolea ๐๐๐
Kuna mmoja uvumilivu ukamshinda akauliza dada unaumwa nikamwambia Jana nilikesha najiandaa safar Ilikuwa ghafla ๐๐hivo nimechoka