Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
-
- #41
Si rahisi kujua ndio maana sikutoa code naenda wapi,lau ningetoa code natoka wapi na kuenda wapi labda kidogo inaweza kuclick kichwaniSasa kama jirani yako naye akiwa member humu si utakuwa umeanzisha uhasama usio wa lazima??
Walimwengu wana mambo sana.
Nashukuru boss nilifika salama around saa moja asubuhiKaazi kweli kweli......
Nimesafiri na treni na nazipenda zaidi kuliko basi.....
Eh bhna kule kuzoeana me na me au ke na me chapu tu
Ila kwenye mabus jau kinoma ukauzu mwingi
Ufike salama
Kuhusu kula kula njiani tupo sawa,labda vitu kama biscuit hv,lkn sijui mahindi mara sijui nyama au misikaki hapana,labda tufike mahala kabisa hotelini sawaMimi uwa siongei njiani ,haijalishi nimekaa na nani!
Wala kula kula njiani.
Hapana sio huko boss,ilikuwa Songea to darUmetoka mbeya unaenda dar hiyo,vp mbeya tununu?
Ila wewe
Nipo safarini,tena safar ndefu imeanza saa kumi nafika kesho asubuhi inshallah,sasa kwa safari kama hii unatarajia seat mate wako atakuwa mwanamke,nimechill dirishani kabisa natarajia jirani atakuja dem eeh anakuja mwamba mpaka nimechoka
Sijui tutaongea nini na huyu mwamba,hapa sana sana story za chadema na mengine ambayo ambayo yatafanya safar izidi kuwa ndefu,lkn ukiwa na mchuchu pembeni walau safar inakuwa na mvuto,sio lazima muwe kimapenzi zaidi laa,ila kuna raha fulani ukiwa safar ndefu na dem pembeni yako mnaweza fanya hata meditation ya hisia
Si unajua usiku mara umelaliwa kwenye bega mara unasikiliza mastory basi safar inakuwa fupi kiasi fulani
Yani mwaka naona umeanza kimachale sana kwa upande wangu,halafu kibaya zaidi ukicheki siti nyingine napo wamekaa warembo watupu,natamani tubadishane mimi niende kule na mmoja aje kwa huyu mwamba
Anyway nikifanikiwa kubadilisha siti nitawaambia,mkiona kimya ujue mambo ya network si unajua road network inahama hama
Ni hayo tu!
Yeah boss nilifika around saa moja asubuhi alhamdulillahUmefika?
Yan nizoee tu bhana😂😂Ila wewe
Kuna mda nakuchukulia maalum mmoja armesing afu ukija na mambo kama haya nasema ndo tabu ya maalim wa townYan nizoee tu bhana😂😂
Nipo safarini,tena safar ndefu imeanza saa kumi nafika kesho asubuhi inshallah,sasa kwa safari kama hii unatarajia seat mate wako atakuwa mwanamke,nimechill dirishani kabisa natarajia jirani atakuja dem eeh anakuja mwamba mpaka nimechoka
Sijui tutaongea nini na huyu mwamba,hapa sana sana story za chadema na mengine ambayo ambayo yatafanya safar izidi kuwa ndefu,lkn ukiwa na mchuchu pembeni walau safar inakuwa na mvuto,sio lazima muwe kimapenzi zaidi laa,ila kuna raha fulani ukiwa safar ndefu na dem pembeni yako mnaweza fanya hata meditation ya hisia
Si unajua usiku mara umelaliwa kwenye bega mara unasikiliza mastory basi safar inakuwa fupi kiasi fulani
Yani mwaka naona umeanza kimachale sana kwa upande wangu,halafu kibaya zaidi ukicheki siti nyingine napo wamekaa warembo watupu,natamani tubadishane mimi niende kule na mmoja aje kwa huyu mwamba
Anyway nikifanikiwa kubadilisha siti nitawaambia,mkiona kimya ujue mambo ya network si unajua road network inahama hama
Ni hayo tu!
umeona eeh ni shidaaa! Uko good lknKuna mda nakuchukulia maalum mmoja armesing afu ukija na mambo kama haya nasema ndo tabu ya maalim wa town
😂😂 unanikosea boss,ni vile tunapenda tu kushare company,ni hivyo tuwazinzi huwa mnajipa tabu sana!
Wazinzi huwa mnajipa tabu sana, aysee!!!
Mkuu unataka kuishi MileleWatu kama nyie ndiyo mnasababisha AJALI. Ila si ungesafiri na mkeo demu wako kuliko kwenda kuokoteza kwenye mabasi.
yeah, ninakupata mkuu. pia ni necha kwamba featuring ya -ke na -me huwa inakaa sawa. Ndio maana Adamu aliumbiwa Hawa,😂😂 unanikosea boss,ni vile tunapenda tu kushare company,ni hivyo tu
Nimeipenda hii bossyeah, ninakupata mkuu. pia ni necha kwamba featuring ya -ke na -me huwa inakaa sawa. Ndio maana Adamu aliumbiwa Hawa,
Ok ikawe khery kwenye safari yako bossNashukuru boss nilifika salama around saa moja asubuhi
Shukran nilishafika leo asubuhi shukrani bossOk ikawe khery kwenye safari yako boss
Mkuu unataka kuishi Milele
Pamoja broShukran nilishafika leo asubuhi shukrani boss
Sijawahi ila nahisi usumbufu haukosekaniHujawahi kukaa na mama mwenye watoto wadogo wewe!