tuliza porojo gentlemanHivi zile maiti mlizochukua mlizila au mlizipeleka wapi?
Hivi hizo imani kubwa kwa tume mlizitoa wapi?Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe:
1. Chanzo cha machafuko
Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja. Kila mtu mwenye akili timilifu anafahamu chanzo cha tatizo ni serikali ya CCM kuteka uchaguzi. Na hili tatizo lilianzishwa na Magufuli tangu uchaguzi wa mwaka 2020 na limerithiwa na Samia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Kutokuwepo kwa uchaguzi kumesababisha kusiwepo na haki wala amani na kupelekea wananchi kujilipua Oktoba 2025.
2. Wauaji ni akina nani?
Watekelezaji wa mauaji ya halaiki siku ya MO29 hawatatajwa kwenye ripoti hii. Utasubiri sana. Na tulitegemea hilo.
3. Ni wapi ilipo miili ya marehemu?
Maelfu ya miili ya marehemu iliyookotwa mitaani na kunyakuliwa kutoka hospitalini, hadi sasa haijulikani wameipeleka wapi. Tume haijagusia jambo hili hata kidogo.
4. Idadi ya wananchi waliopigwa risasi.
Inakadiriwa maelfu ya watu waliuawa lakini hadi sasa mamlaka haijataja idadi. Wanaogopa kutaja idadi kwa sababu baadhi ya miili waliichukua na kuondoka nayo kusikojulikana.
5. Hatua watakazochukuliwa wauaji
Pamoja na kwamba baadhi ya wauaji walionekana hadharani na mibunduki yao wakiwa wamevaa nguo za kiraia huku wakiwalenga raia na kuwaua kwa risasi kama nyumbu, usitegemee kwamba wangetajwa na hii tume mchongo iliyoandaliwa mahsusi kwa ajili ya kuficha ukweli wa mambo.
6. Mengineyo....
Kama kuna mengine ambayo nimeyasahau, mnaweza kuongezea wakuu.
MAONI YANGU
Kwa ufupi ni kwamba hii tume imesababisha maswali mengi zaidi ya majibu na imetonesha vidonda vya ndugu waliopoteza mali pamoja na wapendwa wao. Dalili zilionekana tangu awali kwa kuwa wahusika wakubwa wa matukio haya....polisi na watawala....hawakufikiwa na tume na wala hawakualikwa kujibu madodoso wala kufanya mikutano ya ana kwa ana na tume hii ya mchongo.
Nawasilisha.
Iko siku Chande atakamatwaWakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe:
1. Chanzo cha machafuko
Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja. Kila mtu mwenye akili timilifu anafahamu chanzo cha tatizo ni serikali ya CCM kuteka uchaguzi. Na hili tatizo lilianzishwa na Magufuli tangu uchaguzi wa mwaka 2020 na limerithiwa na Samia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Kutokuwepo kwa uchaguzi kumesababisha kusiwepo na haki wala amani na kupelekea wananchi kujilipua Oktoba 2025.
2. Wauaji ni akina nani?
Watekelezaji wa mauaji ya halaiki siku ya MO29 hawatatajwa kwenye ripoti hii. Utasubiri sana. Na tulitegemea hilo.
3. Ni wapi ilipo miili ya marehemu?
Maelfu ya miili ya marehemu iliyookotwa mitaani na kunyakuliwa kutoka hospitalini, hadi sasa haijulikani wameipeleka wapi. Tume haijagusia jambo hili hata kidogo.
4. Idadi ya wananchi waliopigwa risasi.
Inakadiriwa maelfu ya watu waliuawa lakini hadi sasa mamlaka haijataja idadi. Wanaogopa kutaja idadi kwa sababu baadhi ya miili waliichukua na kuondoka nayo kusikojulikana.
5. Hatua watakazochukuliwa wauaji
Pamoja na kwamba baadhi ya wauaji walionekana hadharani na mibunduki yao wakiwa wamevaa nguo za kiraia huku wakiwalenga raia na kuwaua kwa risasi kama nyumbu, usitegemee kwamba wangetajwa na hii tume mchongo iliyoandaliwa mahsusi kwa ajili ya kuficha ukweli wa mambo.
6. Mengineyo....
Kama kuna mengine ambayo nimeyasahau, mnaweza kuongezea wakuu.
MAONI YANGU
Kwa ufupi ni kwamba hii tume imesababisha maswali mengi zaidi ya majibu na imetonesha vidonda vya ndugu waliopoteza mali pamoja na wapendwa wao. Dalili zilionekana tangu awali kwa kuwa wahusika wakubwa wa matukio haya....polisi na watawala....hawakufikiwa na tume na wala hawakualikwa kujibu madodoso wala kufanya mikutano ya ana kwa ana na tume hii ya mchongo.
Nawasilisha.
TUME IMESEMA KUNA WATUHUMIWA AMBAO ILIWEZA KUWABAUNI LAKINI ITABIDI WAHOJIWE KWANZA; WANA HAKI HIYO KIKATIBA. STILL, TYME HAIWEZI KUTOA ORODHA YA MAJINA YA WATUHUMIWA KWA SABABU KWA KUFANYA HIVYO KUNAWEZA KUTOKEA MACHAFUKO MENGINE; YOU CREATE MORE PROBLEMS THAN YOU SOLVE. THE INTENTION HERE IS TO SOLVE PROBLEMSWakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe:
1. Chanzo cha machafuko
Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja. Kila mtu mwenye akili timilifu anafahamu chanzo cha tatizo ni serikali ya CCM kuteka uchaguzi. Na hili tatizo lilianzishwa na Magufuli tangu uchaguzi wa mwaka 2020 na limerithiwa na Samia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Kutokuwepo kwa uchaguzi kumesababisha kusiwepo na haki wala amani na kupelekea wananchi kujilipua Oktoba 2025.
2. Wauaji ni akina nani?
Watekelezaji wa mauaji ya halaiki siku ya MO29 hawatatajwa kwenye ripoti hii. Utasubiri sana. Na tulitegemea hilo.
3. Ni wapi ilipo miili ya marehemu?
Maelfu ya miili ya marehemu iliyookotwa mitaani na kunyakuliwa kutoka hospitalini, hadi sasa haijulikani wameipeleka wapi. Tume haijagusia jambo hili hata kidogo.
4. Idadi ya wananchi waliopigwa risasi.
Inakadiriwa maelfu ya watu waliuawa lakini hadi sasa mamlaka haijataja idadi. Wanaogopa kutaja idadi kwa sababu baadhi ya miili waliichukua na kuondoka nayo kusikojulikana.
5. Hatua watakazochukuliwa wauaji
Pamoja na kwamba baadhi ya wauaji walionekana hadharani na mibunduki yao wakiwa wamevaa nguo za kiraia huku wakiwalenga raia na kuwaua kwa risasi kama nyumbu, usitegemee kwamba wangetajwa na hii tume mchongo iliyoandaliwa mahsusi kwa ajili ya kuficha ukweli wa mambo.
6. Mengineyo....
Kama kuna mengine ambayo nimeyasahau, mnaweza kuongezea wakuu.
MAONI YANGU
Kwa ufupi ni kwamba hii tume imesababisha maswali mengi zaidi ya majibu na imetonesha vidonda vya ndugu waliopoteza mali pamoja na wapendwa wao. Dalili zilionekana tangu awali kwa kuwa wahusika wakubwa wa matukio haya....polisi na watawala....hawakufikiwa na tume na wala hawakualikwa kujibu madodoso wala kufanya mikutano ya ana kwa ana na tume hii ya mchongo.
Nawasilisha.
The intention is to prolong the time to resolve problems until it is too late. Hii ndiyo mbinu inayotumiwa na serikali hii ya kishetani iliyosomba miili ya maiti kutoka mitaani na hospitalini ikaenda kuichoma kwenye tanuru. Halafu leo Samuya na tume yake ya mchongo anajidai hajui miili ilipo.TUME IMESEMA KUNA WATUHUMIWA AMBAO ILIWEZA KUWABAUNI LAKINI ITABIDI WAHOJIWE KWANZA; WANA HAKI HIYO KIKATIBA. STILL, TYME HAIWEZI KUTOA ORODHA YA MAJINA YA WATUHUMIWA KWA SABABU KWA KUFANYA HIVYO KUNAWEZA KUTOKEA MACHAFUKO MENGINE; YOU CREATE MORE PROBLEMS THAN YOU SOLVE. THE INTENTION HERE IS TO SOLVE PROBLEMS
Nimeumia sana....Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe:
1. Chanzo cha machafuko
Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja. Kila mtu mwenye akili timilifu anafahamu chanzo cha tatizo ni serikali ya CCM kuteka uchaguzi. Na hili tatizo lilianzishwa na Magufuli tangu uchaguzi wa mwaka 2020 na limerithiwa na Samia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Kutokuwepo kwa uchaguzi kumesababisha kusiwepo na haki wala amani na kupelekea wananchi kujilipua Oktoba 2025.
2. Wauaji ni akina nani?
Watekelezaji wa mauaji ya halaiki siku ya MO29 hawatatajwa kwenye ripoti hii. Utasubiri sana. Na tulitegemea hilo.
3. Ni wapi ilipo miili ya marehemu?
Maelfu ya miili ya marehemu iliyookotwa mitaani na kunyakuliwa kutoka hospitalini, hadi sasa haijulikani wameipeleka wapi. Tume haijagusia jambo hili hata kidogo.
4. Idadi ya wananchi waliopigwa risasi.
Inakadiriwa maelfu ya watu waliuawa lakini hadi sasa mamlaka haijataja idadi. Wanaogopa kutaja idadi kwa sababu baadhi ya miili waliichukua na kuondoka nayo kusikojulikana.
5. Hatua watakazochukuliwa wauaji
Pamoja na kwamba baadhi ya wauaji walionekana hadharani na mibunduki yao wakiwa wamevaa nguo za kiraia huku wakiwalenga raia na kuwaua kwa risasi kama nyumbu, usitegemee kwamba wangetajwa na hii tume mchongo iliyoandaliwa mahsusi kwa ajili ya kuficha ukweli wa mambo.
6. Mengineyo....
Kama kuna mengine ambayo nimeyasahau, mnaweza kuongezea wakuu.
MAONI YANGU
Kwa ufupi ni kwamba hii tume imesababisha maswali mengi zaidi ya majibu na imetonesha vidonda vya ndugu waliopoteza mali pamoja na wapendwa wao. Dalili zilionekana tangu awali kwa kuwa wahusika wakubwa wa matukio haya....polisi na watawala....hawakufikiwa na tume na wala hawakualikwa kujibu madodoso wala kufanya mikutano ya ana kwa ana na tume hii ya mchongo.
Nawasilisha.
HayakuwepoHivi Kilimanjaro kulikuwa hakuna machafuko na watu kuuliwa? Manake ripoti ya Chande inaonyesha hivyo…
Rubbish!! Tume imekidhi haja ya matukio ya 29/10, Katiba Mpya na Maridhiano.Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe: