PostGE2025 Mambo muhimu ambayo Tume ya Uchunguzi ya Jaji Chande imeyapuuza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hivi hizo imani kubwa kwa tume mlizitoa wapi?
 
Hivi huyu Chande kwanini hakufa na covid kipindi kile covid ilipowaua Magufuli, Kijaji na Mfugale? Huyu mnafiq mwenye mashavu yaliyotutumuka ndiye alipaswa aanze kufa. Hana faida yoyote ktk taifa hili.
 
Iko siku Chande atakamatwa
 
Hii ripoti ya "tume" ya Chande ni zaidi ya kichekesho. Ndio nini hiki sasa wamewasilisha leo? Maajabu hayatakuja kuisha ktk nchi hii ya kusadikika. Yaani watu wamesubiri ripoti kwa hamu kubwa halafu wanakuja kuambuliwa upuuzi kama huu? Ni nani hasa aliyeiroga nchi hii jamani?

Wakati wazungu wanafikiria kurusha roketi kwenda Mars, sisi tumetunisha mashavu Dar tunasikiliza ripoti ya mchongo! Who the hell has ever bewitched this country?
 
TUME IMESEMA KUNA WATUHUMIWA AMBAO ILIWEZA KUWABAUNI LAKINI ITABIDI WAHOJIWE KWANZA; WANA HAKI HIYO KIKATIBA. STILL, TYME HAIWEZI KUTOA ORODHA YA MAJINA YA WATUHUMIWA KWA SABABU KWA KUFANYA HIVYO KUNAWEZA KUTOKEA MACHAFUKO MENGINE; YOU CREATE MORE PROBLEMS THAN YOU SOLVE. THE INTENTION HERE IS TO SOLVE PROBLEMS
 
The intention is to prolong the time to resolve problems until it is too late. Hii ndiyo mbinu inayotumiwa na serikali hii ya kishetani iliyosomba miili ya maiti kutoka mitaani na hospitalini ikaenda kuichoma kwenye tanuru. Halafu leo Samuya na tume yake ya mchongo anajidai hajui miili ilipo.
 
Hivi Kilimanjaro kulikuwa hakuna machafuko na watu kuuliwa? Manake ripoti ya Chande inaonyesha hivyo…
 
Nimeumia sana....
Nimetoka ofisini mapema nipo town nalewa kwa ungese wa tume
 
Rubbish!! Tume imekidhi haja ya matukio ya 29/10, Katiba Mpya na Maridhiano.

Nenda kasikilize upya kama una shida ya usikuvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…