PostGE2025 Mambo muhimu ambayo Tume ya Uchunguzi ya Jaji Chande imeyapuuza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Rubbish!! Tume imekidhi haja ya matukio ya 29/10, Katiba Mpya na Maridhiano.

Nenda kasikilize upya kama una shida ya usikuvu
Tume haikutaja hoja hizi hapa:

1. Ni akina nani waliingia majumbani kuua raia waliokuwa ndani wakitazama TV?

2. Miili ya maiti ambayo serikali iliichukua hospitalini na mtaani waliipeleka wapi?

3. Wauaji (polisi) wamechukuliwa hatua gani?

Wewe uliyesikia vizuri naomba uniambie mkuu Stuxnet
 
Hivi huyu Chande kwanini hakufa na covid kipindi kile covid ilipowaua Magufuli, Kijaji na Mfugale? Huyu mnafiq mwenye mashavu yaliyotutumuka ndiye alipaswa aanze kufa. Hana faida yoyote ktk taifa hili.
Hawadumu
 
Wao walitaka msingi wa kuingiza janja janja nyingine kwenye Katiba Mpya na Maridhiano...
Utaona udalali utakavyoanza kuanzia wiki ijayo!
 
Hiyo ilikuwa project ya kugawia watu fulani pesa na kuwanunuliwa wahalifu muda!
 
Hiyo ilikuwa project ya kugawia watu fulani pesa na kuwanunuliwa wahalifu muda!
Mbona Samuya anasema wauaji walitoka nchi jirani halafu leo amesema watu wasimame kuwaombea watanzania waliouawa?
 
Wao walitaka msingi wa kuingiza janja janja nyingine kwenye Katiba Mpya na Maridhiano...
Utaona udalali utakavyoanza kuanzia wiki ijayo!
Walifanya hivyo kwa makusudi ili kuharibu ushahidi wa munguki wa Samuya waliohusika kuwaua raia wasiokuwa na hatia.
 
Hiyo ilikuwa project ya kugawia watu fulani pesa na kuwanunuliwa wahalifu muda!
Mimi sikuwa na imani na tume tangu day 0.
Hivi waziri wa ulinzi aliyekuwa ofisini wakati mauaji ya kutisha yakitekelezwa, badala ya kukaa pembeni tume imchunguze eti naye ni miongoni mwa wajumbe wachunguzaji!
 
Walifanya hivyo kwa makusudi ili kuharibu ushahidi wa munguki wa Samuya waliohusika kuwaua raia wasiokuwa na hatia.
Kifupi ushahidi haujaharibika... Wamesababisha hitaji la haraka kulazimisha wadau wengine waje kufanya uchunguzi na kuchukua hatua mbalimbali!
 
Kifupi ushahidi haujaharibika... Wamesababisha hitaji la haraka kulazimisha wadau wengine waje kufanya uchunguzi na kuchukua hatua mbalimbali!
ICC wanakuja kuchunguza mkuu? Wewe unadhani wahalifu wanaweza kujichunguza na kujichukulia hatua wenyewe?
 
Mimi sikuwa na imani na tume tangu day 0.
Hivi waziri wa ulinzi aliyekuwa ofisini wakati mauaji ya kutisha yakitekelezwa, badala ya kukaa pembeni tume imchunguze eti naye ni miongoni mwa wajumbe wachunguzaji!
Ni mambo ambayo hata kichaa anajua ni absurd!
 
Mliambiwa muende mkapeleke ushahidi au mjaze dodoso la kwenye mtandao, mkasema hamtaki kwa kuwa Tume ni haramu. Acheni kulalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…